Serikali kuunda Mamlaka Kuu ya Mapato ya Taifa

Serikali kuunda Mamlaka Kuu ya Mapato ya Taifa

Kuanzisha mamlaka kuu na hiyo ya zamani itakuwa inafanya nini. TRA inapaswa kuvunjwavunjwa na kuweka mfumo rahisi unaoelewaka
 
Nasubili kwa hamu sana Mamlaka Kuu ya Mapato ya Taifa itakavyokuwa inafanya kazi.

Hiyo mamlaka itaundwa lini?

Kwahiyo itakuwa na kazi ya kukusanya mapato na tozo kutoka idara na taasisi zote za serikali zisizotokana na kodi inayokusanywa na TRA?
 
Najua mna nia njema ila njia mnayotaka kutumia cjui kama mmeifanyia utafit wowote. Cku zote kodi huwa inakusanywa kwa malengo na kodi huwa inatumiwa kwa malengo, mojawapo wa sababu flan flan za rates za kodi ni kama;
a)kulinda viwanda vya ndani hasa ktk sekta ambazo growth yake ni ndogo.
b)ku stimulate uwekezaji kwa kupunguza baadhi ya kodi ili kuvutia mitaji
c)ku zuia baadhi ya bidhaa zenye madhara flan flan direct or indirect
d)nk. nk yako mengi sana
Sasa mm cjajua hoja ya kuunda mamlaka mpya, maana kama ni kuhamornize kodi kwene halmashauri na serikali kuu, cdhan kama hilo linahitaji mamlaka mpya. Halafu kwa baadhi yetu ambao hatujui hakuna siku serikali itaweka kodi imfurahishe mtu sababu kodi inapunguza power to spend kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa mashirika sababu yangetumia hiyo hela kuinvest. Kwa hiyo kodi ni leakage kwenye economy. Namna pekee ambayo wananchi wanaweza kufurahia kodi ni outcomes zitakazoletwa na matumiz ya kodi, mfano maji na umeme na mengine mengi tunayoimba hapa, kila cku. Mfano saiv Magufuli anakusanya sana japokuwa kujua ni nyingi au kidogo lazima tulinganishe na GDP, kama fedha haitumiki vibaya basi lawama zozote wananchi tunazotoa kuhusiana na huduma mbovu maana yake tunahitaji tuingie mifukoni tutoe kodi zaidi.
 
Hili jambo limefikia wapi tunapoelekea bajeti ya 2017/2018
 
Hiyo mamlaka itaundwa lini?

Kwahiyo itakuwa na kazi ya kukusanya mapato na tozo kutoka idara na taasisi zote za serikali zisizotokana na kodi inayokusanywa na TRA?
Sawa lile igizo LA mahakama ya mafisadi
 
Mkuu unatatizo la akili

Yuko sahihi hundred percent.

Tatizo la siku hizi ni upungufu wa mapato unaotokana na mdororo wa kiuchumi(tuachane na makaratasi ya world bank) ila sio ubunifu wa kukusanya mapato. Na pengine wamekua wabunifu kwasababu wapo desperate.
 
Back
Top Bottom