ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,991
- 51,814
Chelewa ila ufikeWamechelewa Sana, wahakikishe hakuna bidhaa ghafi inayotoka, hapo ndio watatengeneza ajira na kupata pesa za kigeni.
Kusema ni swala Moja na kuchukua hatua ni issue nyingine.JIWE ALIWAAMBIA MNASAFIRISHAJE MPAKA TOPE NJE??
Safi sana
Kwa nini wasiweze wakati kisingizio Cha umeme kitakuwa kimeisha?Kama wakiweza ni jambo zuri Ila najua watalainishwa tu. Hivi makinikia hayajaanza tena kusafiri?
Sio Tanzania ni Afrika yote ,hatuna akiliTanzania kuwa na wimbi kubwa la jobless pamoja na poverty ni kupenda tu, tupo na abundant resources ila utilization ndiyo bado ni poor, creativity poor, technologically still poor, bureaucracy is very common, individual interests is common.
I hope that God on heaven is lounging on us when he watches us.
Akili tunazo ndiyo maana watu huwa wanahoji sana kuhusiana na rasilimali zao, tatizo ni mifumo kandamizi iliyopo katika nchi zetu za kiafrika, katiba nyingi za nchi zetu zinawalinda wenye mamlaka katika dola ambao sio waaminifu kwa wananchi wao, unadhani hawa viongozi hawajui kuwa tunapoteza rasilimali zetu na kuongeza janga la umasikini na kupoteza faida zetu zinazoyokana na rasilimali zetu?Sio Tanzania ni Afrika yote ,hatuna akili
Ummy Mwalimu, Mwigulu, Mbarawa, Bashe, Kijaju, Makonda, Jafo, Aweso, Nape unategemea watakuwa na creativity ipi?Tanzania kuwa na wimbi kubwa la jobless pamoja na poverty ni kupenda tu, tupo na abundant resources ila utilization ndiyo bado ni poor, creativity poor, technologically still poor, bureaucracy is very common, individual interests is common.
I hope that God on heaven is lounging on us when he watches us.
Mtu anaamka asubuhi V8 full tank lipo nje linamsubiri limpeleke ofisini akaibe mali za wanyonge kisha jioni arudishwe, atabuni kitu gani? nafasi zote watu wafanye interview ndiyo tutapata watu sahihiAkili tunazo ndiyo maana watu huwa wanahoji sana kuhusiana na rasilimali zao, tatizo ni mifumo kandamizi iliyopo katika nchi zetu za kiafrika, katiba nyingi za nchi zetu zinawalinda wenye mamlaka katika dola ambao sio waaminifu kwa wananchi wao, unadhani hawa viongozi hawajui kuwa tunapoteza rasilimali zetu na kuongeza janga la umasikini na kupoteza faida zetu zinazoyokana na rasilimali zetu?
Wanajua kila kitu tatizo ni maamuzi na maslai binafsi.
Ukiwa nje ya serikali matatizo ni mengi na njia za kuyatatua utaziona ila walioko ndani ya serikali wanajifanya vipofu na viziwi ili kulinda ofisi zao na kula yao, na kama ukijifanya hauendi sawa na wao watakutoa kwenye mfumo.
Kwani Ndugai yupo wapi??
Hakika, na pia kama itawezekana , watu wa takwimu wawabane hawa watu wapate mishahara yao kwa asilimia za utendaji wao, mambo ya kulipwa mwisho wa mwezi bila kupata report zao za utendaji ni kuwalea wanyonyaji, na ni embezzlement of public funds, na ni misuses of public offices.Mtu anaamka asubuhi V8 full tank lipo nje linamsubiri limpeleke ofisini akaibe mali za wanyonge kisha jioni arudishwe, atabuni kitu gani? nafasi zote watu wafanye interview ndiyo tutapata watu sahihi
Waziri ametamka serikali imesemaKusema ni swala Moja na kuchukua hatua ni issue nyingine.
Anayetakiwa kuwabana ndiyo anawatuma kwenye dili, utasubiri snHakika, na pia kama itawezekana , watu wa takwimu wawabane hawa watu wapate mishahara yao kwa asilimia za utendaji wao, mambo ya kulipwa mwisho wa mwezi bila kupata report zao za utendaji ni kuwalea wanyonyaji, na ni embezzlement of public funds, na ni misuses of public offices.