Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Safi, sio kila kitu kurundika dar.Mkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili kuandaa mashindano ya AFCON 2027 katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Akikagua eneo kitakapojengwa kiwanja hicho kata ya Olmoti jijini Arusha la Juni 13, 2023, Mkuu wa mkoa huo Bw. John Mongela amesema mkoa umepokea mradi huo kwa mikono miwili na watatekeleza azma ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo makubwa barani Afrika.
βTunamshukuru Rais kwa moyo wake wa uzalendo wa kuwaletea watanzania maendeleo makubwa, Uwanja huu utabadilisha sana sura ya Mkoa wa Arusha na kuiweka kwenye ramani ya dunia, tutatekeleza maelekezo ya Wizara yetu ya michezo, maelekezo ya TFF, mwongozo wa Mhe. Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu na mamlaka zote. Sisi kama mkoa tutafanya linalowezekana jambo hili lifanikiweβ amesema Bw. Mongela.
Ili kufikia azma ya Tanzania kuwa wenyeji wa AFCON 2027 kwa kushirikiana na nchi za Kenya na Uganda, tayari Kiwanja cha Benjamin Mkapa cha Dar es salaam kimeanza kufanyiwa ukarabati mkubwa pamoja na Kiwanja cha Amani Zanzibar hatua itakayofanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi ubora kulingana na Sharia na Kanuni za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) pamoja na mashindano mengine duniani.
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema lengo la ziara hiyo ni kukagua eneo kitakapojengwa kiwanja cha kisasa cha michezo katika jiji la Arusha ambayo ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.
βHuu ni ukaguzi wa awali wa eneo utakapojengwa uwanja wa michezo hapa Arusha, Sisi Wizara tunawaahidi wakazi wa mkoa wa Arusha pamoja na Watanzania kwa ujumla kuwa tutajenga kiwanja cha kisasa chenye uwezo wa kuchukua watu 30,000,000 ambacho kina uwezo wa kuchezwa mechi za CAF na mechi ambazo zinatambuliwa na FIFAβ amesema Bw. Yakubu.
Aidha, ziara hiyo imeshirikisha Uongozi wa mkoa wa Arusha, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bw. Wales Karia pamoja na viongozi wa taasisi zote ambazo zitakuwa na miundombinu muhimu ya kuhudumia kiwanja hicho.
View attachment 2657489
Siyo Kila kitu atajwe MamaMkoa wa Arusha umepewa dhamana kubwa ya kitaifa ya kujengwa kiwanja kipya cha michezo na kufanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi vigezo na mahitaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ili kuandaa mashindano ya AFCON 2027 katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Akikagua eneo kitakapojengwa kiwanja hicho kata ya Olmoti jijini Arusha la Juni 13, 2023, Mkuu wa mkoa huo Bw. John Mongela amesema mkoa umepokea mradi huo kwa mikono miwili na watatekeleza azma ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo makubwa barani Afrika.
βTunamshukuru Rais kwa moyo wake wa uzalendo wa kuwaletea watanzania maendeleo makubwa, Uwanja huu utabadilisha sana sura ya Mkoa wa Arusha na kuiweka kwenye ramani ya dunia, tutatekeleza maelekezo ya Wizara yetu ya michezo, maelekezo ya TFF, mwongozo wa Mhe. Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu na mamlaka zote. Sisi kama mkoa tutafanya linalowezekana jambo hili lifanikiweβ amesema Bw. Mongela.
Ili kufikia azma ya Tanzania kuwa wenyeji wa AFCON 2027 kwa kushirikiana na nchi za Kenya na Uganda, tayari Kiwanja cha Benjamin Mkapa cha Dar es salaam kimeanza kufanyiwa ukarabati mkubwa pamoja na Kiwanja cha Amani Zanzibar hatua itakayofanya Tanzania kuwa na viwanja vitatu vinavyokidhi ubora kulingana na Sharia na Kanuni za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) pamoja na mashindano mengine duniani.
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema lengo la ziara hiyo ni kukagua eneo kitakapojengwa kiwanja cha kisasa cha michezo katika jiji la Arusha ambayo ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.
βHuu ni ukaguzi wa awali wa eneo utakapojengwa uwanja wa michezo hapa Arusha, Sisi Wizara tunawaahidi wakazi wa mkoa wa Arusha pamoja na Watanzania kwa ujumla kuwa tutajenga kiwanja cha kisasa chenye uwezo wa kuchukua watu 30,000,000 ambacho kina uwezo wa kuchezwa mechi za CAF na mechi ambazo zinatambuliwa na FIFAβ amesema Bw. Yakubu.
Aidha, ziara hiyo imeshirikisha Uongozi wa mkoa wa Arusha, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Bw. Wales Karia pamoja na viongozi wa taasisi zote ambazo zitakuwa na miundombinu muhimu ya kuhudumia kiwanja hicho.
View attachment 2657489
MALENGO ya kiuchumi zaidi mkuu kuliko burudani. Arusha Ni mji wa kitalii. Afcon itautangaza zaidi.Mkoa umeshindwa kuwa na timu ya ligi kuu kwa zaidi ya miaka 10 huo uwanja ujengwe kwenye miji kama mbeya, mwanza au morogoro atleast
Mkoa umeshindwa kuwa na timu ya ligi kuu kwa zaidi ya miaka 10 huo uwanja ujengwe kwenye miji kama mbeya, mwanza au morogoro atleast
niliwahi kumskia Msoma taarifa ktk mbio za Muenge akisema kuna pahala imepandwa Miti "Elfu Kumi na Tatu Laki Saba na Elfu Ishirini "Kiwanja kina uwezo wa kuchukua watu million 30????? OMG π³π± I'm sure even ghosts will enjoy playing in the biggest stadium in the world ππ
Unasahau mama naye ana chembe za waarabu? Au hukumuona mjomba wake Oman?tunashukuru, ila suala la bandari halitaisha midomoni mwa watz kama ilivyo kwa loliondo. waarabu sio wa kuwauzia kitu nyie. hatujajifunza kwa loliondo tu? kuna akili za watu wanaamini tukiwapa warabu basi tz itakuwa kama dubai, coconut kabisa inawaza hivyo.