yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,589
- 1,320
hii hii ya jiwe anayekuapua 1.5 bl kwa mwaka ndo atapeleka maji vijijin. Kwan sasa hivi ni asilmia ngap wanatumia
Nadhani haujasoma hata makala yenyewe kuelewa ni jinsi gani watafanikisha kufikisha hiz asilimia 85% za maji vijijinihii hii ya jiwe anayekuapua 1.5 bl kwa mwaka ndo atapeleka maji vijijin. Kwan sasa hivi ni asilmia ngap wanatumia
Uwongo mwingine haufai nenda morogoro maeneo ya kihonda, tena ni mjini hakuna maji
kwenye makaratsi
Kikwete ilikuwa 100% imeshuka tena? Si chama ni hichohicho?
mimi niko mwanza 1 km kutoka ziwan hatuna maji. na kila tukifatilia tunapgwa danadana.hapo ni tangu nchi ipateuhuru.itakuaje huko shatimbiNadhani haujasoma hata makala yenyewe kuelewa ni jinsi gani watafanikisha kufikisha hiz asilimia 85% za maji vijijini
Duuuuuuuuuuuuuuuu unaweza nipa reference ya hiyo data yako???Kikwete ilikuwa 100% imeshuka tena? Si chama ni hichohicho?