Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 33,863
- 54,098
Siyo lazima uambiwe lazima.Unaifuatilia movie tu unajua nini ni nini.Hakuna sehemu aliposema ni lazima.
Siyo lazima uambiwe lazima.Unaifuatilia movie tu unajua nini ni nini.Hakuna sehemu aliposema ni lazima.
Halafu ni kwa faida yake.Anakutana na watu wengi ambapo ni hatari kwa afya yake.Safi sana,asiechanja kazi hana.
Kwahiyo hamna sayansi ktk hili?Hayo ndio masharti ya ule mkopo wa juzi.
Hahahahahaaaaa....Operation tena jaamani...Umenichekesha saaana.Hili neno "chanjo" linawatisha watu.Waseme kupata kinga.Wakisema chanjo Mtanzania anadhani anafanyiwa "upareshon"!😝😝😝😝😝
Hata sura yake ni sura ya shari. Huyu anayezungumza ni nani?? Afoleni yeye kwanza na mke wake na watoto wake na wazazi wake na wakwe zake na ndugu zake wote wachanje!! Tujiridhishe kwanza kuwa jkoo wake wote wamechanjwa ndio tufikirie kumsikiliza au kumpuuza!! Sijui kama anajua maana ya neno HIARI!! Mama tumbua hii mtu fasta!!Serikali imesema kwamba kuanzia Oktoba 1, 2021 itaanza kampeni ya chanjo ya UVIKO kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe
View attachment 1956851
Ina maana hata watumishi wa afya nao wanahitaji kampeni?Serikali imesema kwamba kuanzia Oktoba 1, 2021 itaanza kampeni ya chanjo ya UVIKO kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe
View attachment 1956851
Kwa sababu zipi sasa? maana watu wana sababu zao za kukataa hizi chanjo za corona.Mnaokataa chanjo mngeitaka serikali iache chanjo zote za mama na mtoto.
Uzuri, kamusi ya kiswahili inaweka wazi kuwa kuna tofauti kubwa ya kimantiki kati ya maneno " kuhamasisha kuchanja" na "kulazimisha kuchanja". Msemaji kwenye clip katumia maneno "kuhamasisha kuchanja"Serikali imesema kwamba kuanzia Oktoba 1, 2021 itaanza kampeni ya chanjo ya UVIKO kwa watumishi wote wa serikali wakianza na sekta ya afya yenyewe
View attachment 1956851