Serikali itumie michango yetu vema kwa Watanzania wenzetu na sio kununua watu

Msambwata

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,307
1,499
Watanzania tunaoishi hapa Ujeruman tumechangia vifaa vya kisasa vya maospitali na fedha taslim ili kuwasaidia wenzetu huko nyumbani na Leo vimekabidhiwa na Ndg Hafidh Nour kwa niaba yetu.

Ila napata wakati mgumu sisi tunaisaidia serikali alafu serikali IPO busy kununua wapinzani kwa fedha nyingi sana wakati bado kunauhitaji mkubwa kwa wananchi masikini.

I still love my country and his people.....

+49 40 361 226 49150
 
Kama unataka kununuliwa utanunuliwa tu si umeamua kujiuza na pesa ipo utanunuliwa tu.
 
Back
Top Bottom