Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.

Nimefuatwa nyumbani kwangu na kwa bahati nzuri mimi na familia yangu ambao tuna kidhi vigezo vya kujiandikisha tulisha kwenda kituoni kujiandikisha siku ya pili tu baada ya zoezi kuanza , ingawa nilistaajabu kidogo kuona tumefikia hatua hiyo ya kufuatana majumbani kujiandikisha si jambo jema kwa ustawi wa maendeleo ya kisiasa nchini
Kituo kinafunguliwa saa mbili asbh mpaka jioni idadi inasoma watano.uhamasishaji unafanyika lakini watu hawatoki wanasema wamechoka kupiga kura kwasababu uchaguzi sio huru.
Pamoja na mapambio mengi ya CCM inapendwa ni aibu.sasa vituo vimeanza kuwafuata watu majumbani wajiandikishe yaani kwa lazima huku umesimamiwa.
CCM na Selikari ijitafakari hii sio kawaida ni aibu Wananchi sasa wamewagundua kile wanachokichagua ktk boksi la kura mnaona sasa wanaona yanini kupiga kura
Nimefuatwa nyumbani kwangu na kwa bahati nzuri mimi na familia yangu ambao tuna kidhi vigezo vya kujiandikisha tulisha kwenda kituoni kujiandikisha siku ya pili tu baada ya zoezi kuanza , ingawa nilistaajabu kidogo kuona tumefikia hatua hiyo ya kufuatana majumbani kujiandikisha si jambo jema kwa ustawi wa maendeleo ya kisiasa nchini
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.
Sio kweli kabisa. 2019 na 2020 ndio miaka pekee ambayo uchaguzi uliharibika. Mwaka huu na mwakani mambo yatakuwa fair. Ndio maana CCM wanafanya kazi ya ziada.