Ifikie tu hatua iyajibu maswali ya mh.Tundu A.Lissu ,na kama haina majibu basi isione haya kumuomba radhi mh lissu,kuliko kuendelea kujibizana, huku serikali ikitoa hoja ambazo hazina mashiko ni kujiambisha na kuonyesha madhaifu yake kitaifa mpaka kimataifa..
Na zaidi ya hapo ni kumpa umaarufu zaidi mh.Lissu.
Ni hayo tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app