Serikali isitishe makato ya waalimu kupitia CWT

Jc Simba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
300
Reaction score
426
Kutokana Na madudu yanayofanyika Na chama cha waalimu CWT kwa matumizi ya fedha za chama chao bila utaratibu ni dhahiri sasa kuna haja ya Serikali kuingilia kati Na kusitisha makato yanayokatwa Na chama hicho ili kuruhusu uchunguzi.
CAG ameonyesha kuna ubadhilifu mkubwa Wa fedha za chama hicho Na Mali za chama zinaonekana kumilikiwa Na kampuni ambayo haieleweki utaratibu unaotumika.
 
Tatizo mambo mengi Tanzania bado yanafanyika kama enzi za Chama Kimeshika hatamu ........ No wonder Rais anadai TLS ni mali ya umma!! Kuwa mwanachama kwenye vyama vya wafanyakazi inatakiwa kuwa kwa hiari na matatizo yao walitakiwa wayamalize wao wenyewe kupitia vyombo vya kiresheri kama other NGOs au Private companies.

Haya mambo ya vyama vya wafanyakazi hayakutakiwa kabisa yawe chini ya serikali. CAG wala hakutakiwa kuwa na uezo wa kuwaingilia au kukagua mali au matumizi yao. Wao walitakiwa watumie mashirika binafsi kama KPMG, PWC, EY .... au other local accounting and audit firms.

Kwa kuendeleza kuwa chini ya ule mfumo wa kijamaa ......... ni bora visiwepo, kwa kuwa vinaendela kutetea maslahi ya serikali badala ya wafanyakazi.

Utasikia jinsi watakavyokuwa wanajikomba komba huko Iringa hiyo Mei 1 ..............!!
 
Lakini mkuu, kwa sasa nini kifanyike kuhusu hiyo cwt kuhusu kuvunja sheria za nchi kwa kuwaingiza walimu kwenye makato kinguvu?
 
HII NDIO CWT USIYOIJUA.

Na Thadei Ole Mushi

[HASHTAG]#Tarehe[/HASHTAG] 27/3/2017 Katibu mkuu kiongozi alimuomba CAG afanye ukaguzi kwenye chama cha Waalimu CWT.

[HASHTAG]#Ukaguzi[/HASHTAG] ulijikita katika tuhuma dhidi ya Uongozi wa chama cha waalimu zinazohisu ubadhirifu wa fedha na mali za chama.

[HASHTAG]#Ukaguzi[/HASHTAG] maalumu ulikagua taarifa za mapato na matumizi ya Chama, Uliangalia uhusiano uliopo kati ya Benki ya waalimu na waalimu wenyewe, uhusiano uliopo kati ya Mwalimu haouse na mwalimu mwenyewe.

YALIYOBAINIKA.

1.Hakuna mfumo mzuri wa wanachama unaoonyesha kumbukumbu za wanachama. Katiba ya CWT inaeleza kuwa kunatakiwa kuwe na aina nne za wanachama lakini CWT hawaonyeshi aina hizo za wanachama hivyo haijulikani CWT ina wanachama wangapi.

Pia katika swala la wanachama hakuna taarifa zinazoonyesha wanachama walijiunga lini, mishahara yao kwa mwezi, namba ya uanachama, kiwango anachochangia kwa mwezi nk. Jambo hili CAG anasema kuna uwezekano kuna fedha nyingi zinaliwa kutokana na kutokuwepo kwa taarifa hizo.

2.Malipo ya shilingi 11,924,250,620.13 yakifanyika bila viambatanisho vyovyote. Hii ina maana hakuna nyaraka zinazoonyesha matumizi sahihi ya fedha hizo.

3. Shilingi 3,287,708,358 zilipwa bila kuidhinishwa na katibu mkuu au mweka hazina wa Chama na pia hakuna viambatanisho.

4. Shilingi 11,924,250,620.13 zililipwa bila kuzingatia makisio. Hii ina maana fedha hizi zilitumika bila kuzingatia bajeti ya CWT.CAG anasema viongozi wanakosa nidhamu ya matumizi ya fedha hivyo kuna fedha hapa zilitumika bila wanachama kujua zimekwenda wapi.

5. Hakuna nyaraka zinazoonyesha umiliki wa moja kwa moja wa CWT na miradi yake.

6. Hakuna nyaraka zinazoonyesha mtiririko wa mapato wa vitega uchumi vya chama toka CWT kianzishwe.

7.Mwalimu House imesajiliwa Brela kwa jina lingine la Teachers Development kupitia usajili wa Brea 45719 Badala ya TDCL. Na CAG amebaini kuwa kampuni hilo la Teachers Development hakijawahi kufanya kazi toka kuanzishwa kwake. Kwa hiyo mapato yake hayaonekani.

[HASHTAG]#Hii[/HASHTAG] ndio CWT ambayo huijui
 
Lakini mkuu, kwa sasa nini kifanyike kuhusu hiyo cwt kuhusu kuvunja sheria za nchi kwa kuwaingiza walimu kwenye makato kinguvu?
Mkuu, kinachotakiwa kufanyika kwanza ni kukiunda upya chama chao ........ wajitoe kabisa kwenye mwavuli wa serikali. Hii itakuwa ngumu sana chini ya serikali ya CCM hasa kipindi hiki ambacho mpaka TLS inadaiwa kuwa ni mali ya seriakali.

Pili wa wafanye forensic audit kwenye hayo madudu yaliyoibuliwa na CAG .... watakaokuwa implicated wachukuliwe hatua za kisheria.
 
Daaah,,,kwan hakuna utaratibu wa kuweza kujitoa kwenye hiki chama,,, maana cjawah kujaza form yeyote ya kujiunga wala kujaza mkataba wowote ila cha ajabu nakatwa
 
Mukoba arudishwe haraka aje aeleze pesa hizo zilitafunajwe ikiwa yeye alikuwa na rais wa chama hicho kwa muda mrefu, ahsante mkaguzi
 
Daaah,,,kwan hakuna utaratibu wa kuweza kujitoa kwenye hiki chama,,, maana cjawah kujaza form yeyote ya kujiunga wala kujaza mkataba wowote ila cha ajabu nakatwa
Kuna chama kingine kinaitwa Chakamwata wanakata 1% ya mshahara tofauti Na Hawa
 
Mkuu, kinachotakiwa kufanyika kwanza ni kukiunda upya chama chao ........ wajitoe kabisa kwenye mwavuli wa serikali. Hii itakuwa ngumu sana chini ya serikali ya CCM hasa kipindi hiki ambacho mpaka TLS inadaiwa kuwa ni mali ya seriakali.

Pili wa wafanye forensic audit kwenye hayo madudu yaliyoibuliwa na CAG .... watakaokuwa implicated wachukuliwe hatua za kisheria.
*BREAKING NEWS TAREHE 19/4/2028*:

*KIKAO CHA BARAZA LA TAIFA LA CWT LAVUNJWA NA SERIKALI:*

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe Benerith Mahenge amevunja rasmi kikao cha Baraza la Taifa la CWT leo Alhamisi tarehe 19/4/2018 kwa sababu zifuatazo:-

1. *Serikali (RC) imesema Wagombea wanatuhumiwa kutumia rushwa ktk Uchaguzi huu.*

2. *Serikali imesema kuna viashiria vya uvunjifu wa Amani ktk Uchaguzi huu.*

3. *Serikali mkoani Dodoma haikuwa na taarifa za kikao hiki cha Baraza la Taifa la CWT.*

*Hivyo, kwa mamlaka aliyonayo RC kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ktk Mkoa wa Dodoma ameamua kuvunja rasmi kikao hiki.*

*BAADA YA UAMUZI WA SERIKALI WA KUVUNJA KIKAO CHA CWT:*

Kufuatia Kikao cha Baraza la Taifa kuvunja na Serikali mapema leo baada ya Sala na baadae Utambulisho wa Viongozi mbalimbali ukumbini, *Rais wa CWT Comrade Leah Ulaya* ameitisha kikao cha Kamati ya Utendaji ya Taifa (KUT) ili wakae na kujipanga ili kupata Uelekeo mpya ktk CWT baada ya Uamuo huo wa Serikali.

Pia baada ya kikao kuvunjwa, *Mweka Hazina wa CWT Taifa Comrade Abubakar Allawi* alipata nafasi ya kuongea, na amewataka Sekretariati ya CWT kuandaa vizuri taarifa za mahudhurio na malipo mengine yanayohusu kikao hicho cha Baraza la Taifa.

Mwisho, Wajumbe wa Baraza la Taifa na sisi Wapambe wa Wajumbe wa Baraza la Taifa tukatangaziwa kwenda kupata kunywa chai ili tujipange kurudi nyumbani kwa amani.

Ndimi
Mussa Mnyeti,
*Mchambuzi wa siasa na Jamii - Ukumbini Royal Village, Dodoma.*
*Tarehe 19/4/2018.*

Kwa kitendo hicho kilichofanywa na RC wa Dodoma pamoja na ripoti ya CAG unadhani CCM ipo nao bado?
 
Walimu wakiendelea kuwa kama Matikiti hela zao zitaendelea kutafunwa, kwani ni lazima kuwa mwanachama wa cwt?
 
Kuna ubabe, uvunjwaji wa sheria za ajira na mahusiano kazini, uvunjwaji wa katiba ya JMT, mwl anaajiriwa na kuingizwa kwenye makato kwa lazima na ukienda kulalamika kwa mkurugenzi unakuta ameshapewa kitu kidogo hivyo hamsaidii mwl huyo.
 
Back
Top Bottom