Vijana wa JKT hawafundishwi mafunzo ya Kijeshi haswa haswa bali Uzalendo, ukakamavu na stadi za kazi! Hivyo sio kweli kabisa kabisa kuwa mafunzo yao yanaweza kuwafanya wafanye uhalifu unaofanyika Kibiti! Suala la Kibiti ni maoni yangu kuwa Serikali iongeze uwekezaji pesa ktk operesheni za kiusalama zinazoendelea!
Rais gani huyu wewe?
Rais asiyethamini mwanamke ujue ana roho ya kishetani!!!
Sishangai kipondo alichomshushia my wife wake hata kulazwa mhimbil.
Sii rais wa kujivunia hata kidogo.
Wajinga pekee ndio wana uthubutu huo wa kigaidi.
Kuwafundisha matumizi ya silaha nalo ni tatizo. Hasa hizi nyakati za Ugaidi!!Mkuu wangu hawa JKT hawafundishwi mbinu za kivita wala intelligence wanafundishwa tu ukakamavu na baadhi ya matumizi ya silaha na uzalendo wa hali ya juu
Ulishawahi kuhitimu mafunzo ya JKT au unaropoka tu?Vijana wa JKT hawafundishwi mafunzo ya Kijeshi haswa haswa bali Uzalendo, ukakamavu na stadi za kazi! Hivyo sio kweli kabisa kabisa kuwa mafunzo yao yanaweza kuwafanya wafanye uhalifu unaofanyika Kibiti! Suala la Kibiti ni maoni yangu kuwa Serikali iongeze uwekezaji pesa ktk operesheni za kiusalama zinazoendelea!
Nani amekusimulia? Una uthibitisho na hicho unachoropoka? Labda kwa Wale tu wanaotoka fresh from school ndio huwa wanapigwa partially.Mkuu wangu hawa JKT hawafundishwi mbinu za kivita wala intelligence wanafundishwa tu ukakamavu na baadhi ya matumizi ya silaha na uzalendo wa hali ya juu
Jk alifanyiwa upasuaji kwa matatizo ya tezi dume yaliyokuwa yakimsumbu (tuliambiwa bayana)Shetani na watumishi wake ndio wanaothamini wanawake wazinzi.Kipi kinakuonyesha kuwa JPM hathamini wanawake.Makamu wake wa Rais mwanamke,ulitaka nini kifanyike ili ujue anawathamini?
Kama huna akili za kishetani na ukatakiwa uthibitishe kuwa alimpiga mkewe unaweza au ndiyo namna yenu ya kunzisha mada zenu za "tunaonewa,dikteta na hataki ushauri"
Kama hatuna hoja kwa nini tusinyamaze na kusikiliza wengine.Je unajua kuwa shetani ni baba wa uongo?
Kwanini ukimbilie kuwa nani amenisimulia???Kwa akili hizo hapo siwezi kubishana na wewe mpumbavu na ulivyo nanga utaanza kutaja hadi aina ya mafunzo wanayopitia pumbavu epuka sana kujiweka public katika social networks hapa hata kama kulikuwa na kazi ya upelelezi wewe chizi ushaharibu kaziNani amekusimulia? Una uthibitisho na hicho unachoropoka? Labda kwa Wale tu wanaotoka fresh from school ndio huwa wanapigwa partially.