nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Hivi ni raisi gani ambaye aliwahi kupendwa na wananchi wake kiroho safi? Maana jiwe mi naona saivi anakubalika 0.00000000001% sababu kuu ni Kodi kubwa biashara zinakufa.VIPI MNAONAJE TUMKOPESHE MITANO TENA AENDELEE MPAKA 2030 AU???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi siyo muumini wake asilani,Toka akiwa waziriVIPI MNAONAJE TUMKOPESHE MITANO TENA AENDELEE MPAKA 2030 AU???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au nasema uongo ndugu zangu?VIPI MNAONAJE TUMKOPESHE MITANO TENA AENDELEE MPAKA 2030 AU?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujumbe mzito huu. Walio karibu na sekta ya Elimu wataelewa zaidi ujumbe wako. Mahusiano ya walimu, wazazi na watendaji wa serikali wa ngazi za chini ikiwemo watendaji wa kata,vijiji n.k. ni tete kutokana na sintofahamu kubwa iliyopo katika michango.Saalam!
Ni muda mrefu sasa Watanzania wakilalamikia michango mashuleni bila majibu ya serikali.
Malalamiko yanatoka na kukizana kwa kauli za viongozi wa kuu wa nchi na utendaji wa viongozi wa halmashauri zetu na wakuu wa shule za serikali.
Viongozi wakuu wanasema elimu bure na asiwepo mwananchi kudaiwa michango.
Viongozi halmashauri na wakuu wa shule za serikali wanasema matamko ya viongozi wa juu ni siasa tu.
Hali hii inasababisha chuki kati ya wazazi na walimu, kwani mzazi akishasikia hakuna michango, ni lazima amuhoji mwalimu atakayemwambia achangie dawati au ujenzi wa uzio/ madarasa
Chuki hizo huendelea, walimu wakifahamu kuwa mzazi wa mwanafunzi fulani ndiye aliyekuwa anahoji na kupinga michango kwenye vikao, mwanafunzi huyo hatasoma kwa amani, hasira za walimu huamia kwa watoto.
Ni wakati sasa serikali kuweka Jambo hili sawa.
Serikali imeshindwa kutekeleza sera ya elimu bure, irudishe ada mashuleni ili shule ziwezekujiendesha.
Maana ukipiga hesabu utakuta zaidi ya laki tatu mzazi anatoa kwa ajili ya mwanafunzi kwa mwaka.
Dawati
Ujenzi wa madarasa/uzio
Nembo
Faili la mwanafunzi
Rimu nk.
Kwa lugha rahisi shule siyo za serikali Bali ni shule za wananchi
SERIKALI RUDISHA ADA MASHULENI
Hivi ni moja ya maelfu ya viini macho vya awamu hii ya hovyo.Saalam!
Ni muda mrefu sasa Watanzania wakilalamikia michango mashuleni bila majibu ya serikali.
Malalamiko yanatoka na kukizana kwa kauli za viongozi wa kuu wa nchi na utendaji wa viongozi wa halmashauri zetu na wakuu wa shule za serikali.
Viongozi wakuu wanasema elimu bure na asiwepo Mwananchi kudaiwa michango.
Viongozi Halmashauri na wakuu wa shule za serikali wanasema matamko ya viongozi wa juu ni siasa tu.

nakubaliana na wewe 100%Saalam!

Aisee kama ingekuwa ni mchezo wa karata basi tulilamba dume, tumpe 10 mingine.Au nasema uongo ndugu zangu?
Kama no mboga ya kulia ugali Basi yeye ni mlendaAisee kama ingekuwa ni mchezo wa karata basi tulilamba dume, tumpe 10 mingine.