CBRT kupeleka mwanza geografia yake mpaka kufika mjini itabidi kubomoa nyumba nyingi.pili kuna miradi kama ile barabara ya nyegezi kuna treni ya umeme hiyo projectlawama ya nini?
kama kuna tram (treni ya umeme) mwanza, itakuwa suluhisho kuliko hata mabasi. izo vitu nasema trams south africa zilianza hata kabla sisi hatujapata uhuru, ulaya zilianza hata kabla tanzania haijazaliwa. lakini hadi leo watz tunajibana kwenye vibasi/vipanya kama mizigo.CBRT kupeleka mwanza geografia yake mpaka kufika mjini itabidi kubomoa nyumba nyingi.pili kuna miradi kama ile barabara ya nyegezi kuna treni ya umeme hiyo project
BRT ni upotevu wa hela. Badala ya haya mabasi zijengwe city tram za umeme. Ni more efficient and cost effectiveNimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa yenye tambarate (Dodoma, Mwanza, Morogoro, sumbawanga, Tanga n.k). maeneo yanye milima mjini kama mbeya, iringa, songea n.k yawepo tu mabasi.
nakubaliana na wewe kwenye hilo. pia hata kwenye ujenzi wa miundombinu, trams ni rahisi kuliko brt.BRT ni upotevu wa hela. Badala ya haya mabasi zijengwe city tram za umeme. Ni more efficient and cost effective
View attachment 2481127
Mwanza ilikosewa tokea enzi za Nyererekwa mwanza unatafuta lawama
lakini kwa sasa trams inawezekana. na patapendeza sana. Mwanza ni sehemu nzuri sana kama ikipata uongozi wa jiji mzuri, panaweza kuwa jiji bora kuliko yote. hii ni kwasababu ya availability ya maji, wanaweza kutengeneza gardens mitaa yote, au wakajaladia vitofali kandokando ya barabara zote ili kuondoa vumbi na iwe rahisi kufanya usafi.Mwanza ilikosewa tokea enzi za Nyerere
itapendeza sana, Tram ianzie Veyula au Msalato, hadi Chamwino, ingine iende iringa road. Dodoma itakuwa kama ulaya. kwa DSM pia, ukiweka tram kuanzia Posta au hata ubungo hadi Kibaha, na njia ile iende bunju, ingine mbagala etc, jiji litakuwa bora kabisa.Tram ipo ktk mpango wa kufanyika Dodoma na Dsm kwa ufadhili wa serikali ya ufaransa kama sikosei...
Hivyo kaa usubilie utekelezaji wake utakapo anza na mungu akiendelea kutupa uhai basi tuweze kutumia usafiri huo ktk hiyo miji...
Dodoma ndiko BRT itafuta baada ya Dar,huko kwingine kutasubiria sana.Nimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa yenye tambarate (Dodoma, Mwanza, Morogoro, sumbawanga, Tanga n.k). maeneo yanye milima mjini kama mbeya, iringa, songea n.k yawepo tu mabasi.
Vyote vitahusikaDodoma city trams zitakuwa bora kuliko brt zinazotumia mafuta.