Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
Ingawa Mimi ni mkristo lakini nimekua najiuliza miaka mingi uwepo wa mitume na manabii lukuki nchini tena wengi wakiwa raia toka nchi nyingine, wanafika hapa wanaanza shughuli zao, baada ya muda wanajawa na utajiri wa kutisha kitu ambacho kinaleta sintofahamu kama hawa watu ni wa kweli?
Ni nguvu gani wanatumia kushawishi?
Kwanini wao watajirike na waumini wanakua masikini? Mungu amewapa serikali pa kuanzia kupitia Maneno 'yaliyovuja' kwenye mic ya Nabii Olivia wakati akimuombea msichana,,
Na ni wakati sasa serikali kuwapitia wote hawa wanaojiita mitume Na manabii Na wanaoanzisha makanisa kiholela kuona uhalali wao ikibidi mengi sasa yafungwe na watakaobainika walikua wakifanya ujasiliadini wafikishwe ktk vyombo vya sheria.
Natoa hoja.