choga mkuu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 283
- 110
Ni serikali inayojipinga kila wakati
Serikali hii imekuwa ikijipinga na kujikosoa yenyewe pamoja na kwamba haitaki ipingwe na na mtu mwingine kwa kuwa inaamin viongozi wake wote ni watakatifu (SAINTS) na wapakwa mafuta (ANOINTED ONES) . Kujipinga na kujikosoa huku kunakuja kutokana na maamzi ya kukurupuka yasiyofuata misingi na maadili ya kazi . Imefikia kipindi serikali imekosa msemaji maana viongoz wakuu wanaamini jambo wanalotaka kulisema na kulitenda wakimtuma msemaji anaweza kujizolea umaarufu . Leo Mkuu fulan anatamka hivi baada ya siku moja anakuja msemaji kukanusha taarifa hizo , ni aibu kubwa.
Serikali hii inajipinga hivi sana mfano
1) serikali imesimamisha ajira zote , baada ya kauli hiyo kunatokea uteuzi na uapishwaji Wa wakuu Wa wilaya na mkoa
2) Hakuna mwanafunzi aliyepata three atajiunga na kidato cha tank . Leo serikali imechagua wanafunzi wenye division 3 hadi ya 24 kujiunga na kidato cha tank
3) ada elekezi , shule zote za binafi zinatakiwa kufuata ada elekezi. Baada ya muda serikali hiyo hiyo inakataa ada elekezi
4) Bei elekez ya sukari ni 1800. Muda Wa mwezi mmoja waziri Wa viwanda anafuta agizo LA bei elekezi na leo sukari inauzwa hadi 3500
5) Wanafunzi Wa udom waliofukuzwa ni vilaza , baada ya wiki moja mtu mmoja kwenye dakika 45 za ITV anakanusha taarifa hiyo na kubainisha kuwa wanafunzi hawa tatzo ila tatzo ni serikal kutolipa walimu
7) Bunge live ni gharama na bunge kurushwa live linasababsha watu kutokufanya kazi , baada ya miez mitatu tu serikali ile ile inapinga na kusema matangazo ya bunge yatarushwa live radion
8) MUHIMBILI hospital wenye wagonjwa hakuna kupeleka chakula kwa wagonjwa . Wagonjwa watalipia sh 50000 kwa siku tano ili chakula kiandaliwe hospital hapo, baada ya siku moja tu serikali hiyo hiyo inapinga bila sababu za msingi .
9) Mkuu Wa wilaya ya ikungu ni mr Avias , baada ya saa 24 uteuzi unatenguliwa.
UMAKINI WA SERIKALI UKO WAP? UMAKINI SIO KUPATA HABARI ZA KIINTELIJENSIA ZA MIKUTANO YA UPINZANI, UMAKINI SIO KUZUIA WATU KUNENA ,KUKOSOA ,
My take;
Serikali inatakiwa iheshimu wasemaji Wa ofsi husika ili kuondoa mkanganyiko huu. Pia utafiti ufanyike kabla ya kuzungumza chochote ambacho kinahitaji uchunguzi