Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

Nyinyi mtaendelea kuiombea mabaya serikali, na hamjaanza upuuzi huo jana wala juzi, mnazeeka na ujinga huo.
By the way vipi umeshapigiwa simu kwenda lumumba kumuona katibu?
1455013435148.jpg
 
1. Mkuu, ni mungu gani huyo wanayemtanguliza!? Maana miungu wengi... Hata Diego Maradona pia ni mungu...

Kama ni huyu Yehova, je ni kweli ana-support
Wizi kama ule wa kura?
Uonevu kama ule wa ZNZ?
Uongo na ulaghai kama huu kwenye chaguzi za Dar!? Mungu ni pendo na mpenda haki... Upendo ni kulaza raia nje sio!?
Hata Hivi naona wanalitaja Bure jina la mungu...

2. Sidhani kama ni busara kutumia mgongo wa Mungu kuficha mapungufu binafsi... Matter of fact, huhitaji taifa zima likuombee ili usimamie haki..
Umenena vema mkuu hao ni wale wanao dhani Mungu ni babu yao,Meya wa jiji achaguliwe na wawakilishi toka zanzibar wapi na wapi??sheria zipo lakini hawataki kuzifuata halafu wanataka kuombewa.ni kutubu tu hakuna namna nyingine.
 
....kuna mambo waliyofanya sivyo hadi waombewe kila wakati??...btw...serikali ya TZ huwa haina dini....sasa najiuliza kuomba kuombewa kila mara wana hofu gani??...wakati dola wameshika wao inakuwaje wanaomba nguvu ya asiyeonekana kuwalinda??.....Kwa kawaida kwa mataifa yenye watawala wanaomjali Mungu(kama USA) huwa wanasema God Bless America etc etc na si wao kuombewa individually....hili la watawala wa TZ lina walakini.....
teh,teh,teh,teh Obama awaomba Wamarekani wamwombee teh teh JF bana.
 
unaanzisha thread unacomment mwenyewe, mbona lowasa alisema tumuombee hukuanzisha thread?????
umeona eh eh Mtu ngani mcha Mungu anashangaa kuambiwa niombee, hii ni Pathetic wewe ni wa wapi?kazi ni kuomba au akuombe umpeleke kwa waganga?
 
Hata ukijipanga vp, mwenyezi mungu ndio kila kitu, na watumishi wana bafasi yao. Kuombewa siombaya, pia na wao wasichoke kumuomba wenyewe. Pia waepukane na dhulma kwa wanaowaongoza, wawahulumie, na wawawakirishe vema katika maendeleo yae na taifa, wasitegemee kuwadhulumu wanawaongoza halafu wategeme mwenyezi mungu atawasikliza.
 
KWANINI!!!!?? Kwani Siku Hizi Viongozi Wa Kidini Nao Wamekuwa Wanasiasa!!!!?? Au Serikali Ikiwa Na UHITAJI Wake Kutoka Kwa Viongozi Wa KIROHO, WANARUHUSIWA Kuingilia, Kuomba, Kushauri Na Kupendekeza!!! ILA Ikiwa Viongozi Hao Wa KIROHO Wakiona Serikali Ikifanya Mambo Ambayo Sio Sahihi, Wakasema, Kukemea, Kupendekeza, Kuonya Na Kuiomba! SERIKALI Iache Kufanya Hayo!!!!! HAPO Viongozi Hao Wa Kidini, Watakuwa Wanachanganya Dini Na Siasa!!!!!!
 
Kuongoza nchi wakati ulikuta watu wengine wao ndo serikali katika nchi hiyohiyo na uanze kuwalazimisha kufuata sheria elewa bila kuombewa watakutoa roho maana system uliyokuta kuachisha tonge sio mchezo iombewe tu mafisadi washindwe
 
Kasim-8Feb2016.png

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa.
Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuendelea kuiombea serikali ya awamu ya tano ili iendeleze kazi ya kutumbua majipu ambayo inagusa baadhi ya watu wenye nguvu serikalini.
-------------------------------xxxxx-------------------xxxxx---------

Hivi haijiamini au ni vipi maana haieleweki ! Kila anepata nafasi ya kuzungumza utasikia akiwaambia wasikilizaji tuombeeni maana tuna hili na lile ,,eti jamani hawa waliingia madarakani ili kuja kuombewa ? Mimi nawaombea wasamehewe maana kuna shaka juu ya ushindi wao hivyo addhabu ya kumsshirikisha Mwenyezi Mungu eti aliwasaidia kushinda sio ndogo inabidi hapo ndipo pa kuwaombea ,lakini sio huko kwenye kazi zao ambazo ni wajibu !
Naishangaa sn serikali inayoomba iombewe. Iombewe kwa nani wakat wao wanatawala milele na kufa hawatakufa. Labda tuwaombee waendelee kubaki madarakani. Unaona Halaf unapofusha watu kwa kutaka kuombewa, kwa Mungu gan? Unaona unakusanya vyombo vya habari unadai uombewe. Polen sn kama mndhani sisi ni mazombie!
 
Mi bnafsi wananiboa sana'eti 2ombee amani Zanzibar '

Hawajui km hakuna aman pacpo haki!??v2 vngne ni vya kutumia akl2 na sio maombi

Afu nanyie mashehe,padri,wachungaj na maaskofu mpunguze unafiki!!

Haiwezekan ww padr cjui mchungaj kla kukcha unasapot ujnga wa serikal kutaka kuombewa upuuz

Nadhan ata shetan anawashangaaa...shame on them!!
 
Hawa watu ni waadilifu tuwaombee maana wanakutana na mambo magumu wanahitaji maombi ili wasonge mbele na utaratibu wa maombi ni wa kawaida tu wa wacha Mungu
Na kuomba au kuombewa kuna dhambi gn jamani. Mbona wanaleta thread ya mashambulizi kana kwamba kuomba ni dhambi. Mimi nadhani kila mtu anahitaji kuomba na kuombewa dunia hii
 
Kasim-8Feb2016.png

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa.
Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuendelea kuiombea serikali ya awamu ya tano ili iendeleze kazi ya kutumbua majipu ambayo inagusa baadhi ya watu wenye nguvu serikalini.
-------------------------------xxxxx-------------------xxxxx---------

Hivi haijiamini au ni vipi maana haieleweki ! Kila anepata nafasi ya kuzungumza utasikia akiwaambia wasikilizaji tuombeeni maana tuna hili na lile ,,eti jamani hawa waliingia madarakani ili kuja kuombewa ? Mimi nawaombea wasamehewe maana kuna shaka juu ya ushindi wao hivyo addhabu ya kumsshirikisha Mwenyezi Mungu eti aliwasaidia kushinda sio ndogo inabidi hapo ndipo pa kuwaombea ,lakini sio huko kwenye kazi zao ambazo ni wajibu !
Msiwahukumu kwakuwa wametambua ya kuwa bila maombi kwa mwenyezi MUNGU kuna mambo hutafanikiwa hata uwe jeuri namna gani! Sasa hapa ndugu zangu tuwe makini maana kwa ushabiki wa siasa bila kujielewa unaweza ukakuta unatengeneza uadui hata kuanzisha vita na MUNGU bila kujua, maadamu wamekiri ya kuwa ni MUNGU ndiye atakayewapigania na wanahimiza tuungane katika sala kwa mwenyezi MUNGU basi ni vyema sifa na utukufu tumrudushie muumba wetu nasio kuingilia mipaka yake! Ni hayo tu wandugu
 
K
Hapo ndo utajua kazi alioifanya Kikwete tarehe 25/10/2015, maana FISADI alikuwa na mizizi kila muhimili wa dora! eh MUNGU unaona mbali!
kwani hujui kazi walizofanya wezi wa pesa za NIDA na yale Mabilion ya marehemu Gadafi ,hata pesa ya Escrow, pesa za kivuko na mabehewa chakavu zimefanya kazi kubwa kuhujumu Ukawa.
 
Msiwahukumu kwakuwa wametambua ya kuwa bila maombi kwa mwenyezi MUNGU kuna mambo hutafanikiwa hata uwe jeuri namna gani! Sasa hapa ndugu zangu tuwe makini maana kwa ushabiki wa siasa bila kujielewa unaweza ukakuta unatengeneza uadui hata kuanzisha vita na MUNGU bila kujua, maadamu wamekiri ya kuwa ni MUNGU ndiye atakayewapigania na wanahimiza tuungane katika sala kwa mwenyezi MUNGU basi ni vyema sifa na utukufu tumrudushie muumba wetu nasio kuingilia mipaka yake! Ni hayo tu wandugu
Sidhani Kama mungu alikuwepo kwenye Uchakachuaji huo, mungu hapendi kushirikishwa kwenye unafiki
 
Chadema wanachofanya kwenye Jamii forum, ndio hicho wanachofanya bungeni.!!!

Yani ccm ya zamani ndio chadema ya sasa, na chadema ya zamani ndio ccm ya sasa.

Wa pumbavu wote sasa hivi mtetezi wao ni chadema!!!
Kwani wewe ni mjanja? Mbona ww ni Rais wa Mbumbumbu Duniani, utetezi upi? Hapa ni kuambiwa Ukweli tu si kutetea kitu, Ukweli mtaambiwa hata kama tafasri zenu ni kinyume kabsa.
 
Mimi mwenyewe mtu anayesema niombee bila kuniambia anachotaka nimwombee huwa siwezi kufanya hivyo

Unaposema uombewe kuwa specific maana mimi naweza kupiga sala Mgumba azae kumbe wewe tatizo lako sio ugumba ni umetoa mimba
Wanataka uwaombee Mungu awasamehe dhambi ya Uchakachuaji matokeo ya 25/10/2015
 
Back
Top Bottom