Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa.
Viongozi wa dini nchini wametakiwa kuendelea kuiombea serikali ya awamu ya tano ili iendeleze kazi ya kutumbua majipu ambayo inagusa baadhi ya watu wenye nguvu serikalini.
-------------------------------xxxxx-------------------xxxxx---------
Hivi haijiamini au ni vipi maana haieleweki ! Kila anepata nafasi ya kuzungumza utasikia akiwaambia wasikilizaji tuombeeni maana tuna hili na lile ,,eti jamani hawa waliingia madarakani ili kuja kuombewa ? Mimi nawaombea wasamehewe maana kuna shaka juu ya ushindi wao hivyo addhabu ya kumsshirikisha Mwenyezi Mungu eti aliwasaidia kushinda sio ndogo inabidi hapo ndipo pa kuwaombea ,lakini sio huko kwenye kazi zao ambazo ni wajibu !