Katika kufanya kazi, unatakiwa utoe result na pia ufanye kazi kwa weledi, katika utafiti wangu mdogo nimegundua mfanyakazi wa private sector anafanya kazi kwa ufanisi na kwa taaluma yake tofauti na serikalini kwa sababu zifuatazo:
1. Ukifanya kazi Serikalini hata kama result yako haitakuwa nzuri sio tatizo mfano bwana shamba wa Serikali na bwana shamba wa kibena estate au TPC uwezo wao wa kutoa matokeo ni tofauti kabisa,hii ni kwa sababu serikalini kazi zinafanyika kimazoea na watu hata hawapo serious.
2. Imekuwa ni kasumba kwa huduma za private kuwa bora kuliko serikalini mfano afya, elimu, nk kwa sababu private unajituma mpaka kujisomea ili kazi yako iwe safi lakini kule ukifika job yatosha huwezi kupimwa kazi uliofanya na ufanisi wake, hii imewafanya wafanyakazi Serikalini kubweteka na kuwa mizigo.
Chukua mchumi mwenye uzoefu wa miaka 3 Serikalini na private utagundua wa private ana vitu vipya vingi tofauti na alivyopata shule kwa sababu kutafuta ziada ni kawaida, but mwalimu wa serikalini hata kama anafundisha advance yeye anaweza kutumia notice miaka kumi zilezile hata kama haziendani na wakati.
3. Serikalini huogopi kwa sababu system ya Serikali haifanyi kazi vizuri na hakuna jipya watu wanapishana tu kama wako busy lakini baadhi ni mizigo, hii ni kutokana na siasa mpaka kwenye taaluma na kazini.
Naombeni mjadili kwa hoja, note wafanyakazi Serikalini wanaofanya kazi sawasawa ni wachache sana scientificaly is like nothing.
Asanteni.