Serikali inasababisha CCM kuchukiwa na wananchi

Serikali inasababisha CCM kuchukiwa na wananchi

SISAMBWE

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
42
Reaction score
10
mambo mengi yanayofanywa na serikali yanasababisha wananchi kuichukia CCM na viongozi wake. kwa mfano:-

1. bomu la Arusha watu wamesema polisi wamehusika,kwa nini tume haiundwi kuondoa utata huu?

2. Badala ya kuunda tume wanamtisha Mbowe!

3. Mtwara wanasema watafaidika vipi na gasi iliyogunduliwa katika eneo lao?
Badala ya kutoa elimu wao wanapeleka majeshi yote ya nchi hii kupiga wananchi jamani!

4. Waziri mkuu anaongea bungeni eti serikali imechoka wakaidi wapigwe tu, sasa utawala wa sheria ameufuta?

5
 
Mkuu wangu unategemea nini toka kwa serikali dhalimu na dhaifu? Waache wajichimbie kaburi lao wenyewe.
 
Leo tena msemaji wa ikulu kasema waliopigwa na wanjeshi mtwara ni vibaka na ndio wachochezi wa vurugu. Kazi tunayo!
 
5. Badala ya kubuni njia nzuri za kukusanya ushuru wamebaki kuwabana wananchi wake as a source of revenue ikiwaacha Barrick wakitorosha makontena ya madini kwenda marekani
 
Back
Top Bottom