Ni wizi wa kishamba wanaufanya
Inaonyesha huko ccm na serikalini kuna watu wengi hawana akili au wana akili za kizamani
Unapoficha hivi uhuru wa habari au kujieleza unatuma picha kwa watu kwamba wewe ni mwizi
Lama wameshinda kwa halali wanaogopa nini?
unaiba mchana kweupe ukionekana ndicho wanachokifanya
Wangeiba na kutulia tu wala hakuna mtu angeshtuka ila hii kuzimazima mtandao ni ishara ya wazi hawajiamini na matendo yao