Serikali inapopigwa mkwara na mwarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali inapopigwa mkwara na mwarabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Feb 23, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli nimeshangazwana kuhuzunika kwa kauli za vitisho,kebehi,na kejeli zilizotolewa na Al adawi anayejiita mwekezaji,
  Tanzania tumefika mahali mtu binafsi anatisha serikali yenye vyombo vyote vya dola,tena mtu ambaye si raia wa Tanzania,na serikali inakaa kimya,lazima sisi wazalendo tuhoji na kuhoji uhalali wa serikali,ndugu zangu nyote mmeshuhudia anayejiita mwekezaji tena mwenye zaidi ya wafanyakazi 25,000,duniani pote anaogopa kamera,serikali yetu imemwogopa mtu anayeogopa kamera aibuuuuu
  wazalendo wenzangu tangu lini kabla na baada ya uhuru mgeni akaichimba biti serikali?
  kama taifa hatuihitaji mwekezaji anayetutisha,imefika mahali serikali iwe na kauli na msimamo ambao kila mtu anaujua,vinginevyo itakuwa haina uhalali wa kutawala wala kuongoza..............
  Nawasilisha
   
Loading...