Bila kugugumiza , kushuka kwa viwango vya mabando Ni mpango mkakati wa serikali chini ya utawala wa awamu ya tano ambao unatekelezwa katika awamu hii ya sita.
Jiwe aliwahi kutanabaisha kuwa ingewezekana kuzuia Huduma za internet kwake ingekuwa furaha yake, na ikumbukwe kiongozi wa pili wa juu kabisa Ni Raisi aliyeko madarakan Sasa ambaye nae kashatanabaisha kuwa yeye na Jiwe Ni kitu kimoja, kwa hyo anatekeleza mipango
Mikakati waliojiwekea ikiwemo suala la internet!
Swali Ni je, makampuni ya mitandao yanavyotoa Huduma ya mabandle kwa kiwango Cha juu, hawa watawala wanapungukiwa Nini? Yan kinawauma Sana wananchi wao kupewa vitu vilivyo Bora!!!?
Awamu ya tano na sita ndiyo source ya mabadiliko ya mara kwa mara ya mabundle Sasa Sijui wanakerwa na Nini!?