huu mjadala ulishajadiliwa siku nyingi sana hapa, na mwanakijiji alitoa ushahidi kwa mjibu wa katiba ya nchi rais anaachia ngazi pale rais anapoapishwa. kwa hiyo hakuna kipindi ambacho nchi inakuwa haina rais. (angalia thread iliyoelezea kwanini mawaziri bado wako katika maofisi wakati bunge lilishavunjwa, you will see)