Serikali inabidi ianzishe bodi ya bahari

Offshore Seamen

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
5,678
Reaction score
14,565
Tanzania tumejaliwa kuwa na eneo kubwa la bahari, bahari ni utajiri tosha.Nchi inapoteza mapato mengi kupitia bahari ambapo bahari ingeweza kuleta mapato zaidi ya madini nchini.

Sekta hii imesahaulika sana na kufanya kuwa sehemu ya upigaji mkuu.

Serikali inabidi ianzishe bodi ya bahari ili kusimamia na kushirikiana na kituo cha uwekezaji kuwapa fursa wawekezaji katika sekta ya bahari.
 
Big up
Umewaza nje ya box, .......lkn je hawa masikio wanayo....!!?
 
Katika Marais wote watano waliowahi kutawala hapa nchini kwetu namjua Mkapa tu kama Rais mjasiriamali kweli aliekuwa serious na utafutaji wa pesa

Kuna mwandishi wa fasihi aliandika kimafumbo kitabu kimoja kinaenda kwa jina la 'I will marry when I want ' akiwashambulia viongozi wa serikali za Kiafrika kuwa hawataki kuiendeleza kwa makusudi kabisa Afrika
 
Naamini maendeleo ya Afrika yataletwa na waafrika wenyewe. Viongozi wa Afrika wakiamua tutapiga hatua kubwa sana.
 
Back
Top Bottom