Mmhh, too many questionsAsalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"
rais alisema uteuzi wao ulikua makini na alipitia cv zao sasa human errors kivip? kamdharirisha sanaAlipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC
Hivi wewe una elimu gani???? Au ndo wale wa BRNAlipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC
Kwa kuwa IKULU ni taasisi kubwa jambo la kwanza wamwo radhi kwa usumbufu wa yeye na famiia yake pili aliyekosea jina na kusababisha Rais akosee awajibishwe.Kwani wakati wa Rais Kikwete yupo mtu aliwajibishwa kwa kosa la kumpeleka mkurugenzi wa halmashauri kupokea gari ya ambulance mtu ambaye hakuhitajika.Namshauri aende mahakamani tu,udhalilishaji aliofanyiwa haukubaliiki katika jamii iliyostaarabika