Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Alipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,Asalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"
hakuna kitu kama hicho. inamaana Rais akiandika Huwa hapitii tena kusoma alichokiandika. Errors zingine zinaepukika. Umeona jinsi magazet yalivyomkejeli huyo DC.? Inabidi alipwe ama Rais Amuombe radhi hadharani kama alivyo "MTUMBUA" hadharaniAlipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC
inatakiwa amuombe Radhi kwa kweli. Hicho kitendo hapana anastahili kuombwa radhi!hakuna kitu kama hicho. inamaana Rais akiandika Huwa hapitii tena kusoma alichokiandika. Errors zingine zinaepukika. Umeona jinsi magazet yalivyomkejeli huyo DC.? Inabidi alipwe ama Rais Amuombe radhi hadharani kama alivyo "MTUMBUA" hadharani
Asalam aleikum. Binafsi nilisikitika sana baada ya kusikia kuwa Rais ametengua uteuzi wa mtu ambaye yeye ndiye aliemteuwa.Sio jambo baya kutengua uteuzi wake bali sababu aliyoitoa ya kutengua uteuzi huo haileti maana(it doesnt make sense). Nilitegemea maelezo zaidi ya eti "jina limekosewa". Hebu fikiria kama wewe ndo ungekuwa yule DC alie "TUMBULIWA" ungejisikiaje.? kiukweli amemuathirika kisaikolojia na anapaswa kulipwa kwa kitendo hicho cha rais "KUMTUMBUA"
Tafuta sababu yenye mashiko. Rais ni taasisiAlipwe ili nini, sababu inajieleza mkuu,
HUMAN ERRORS ambazo sometimes haziepukiki ndicho chanzo cha kutumbuliwa kwa DC
hakuna kitu kama hicho. inamaana Rais akiandika Huwa hapitii tena kusoma alichokiandika. Errors zingine zinaepukika. Umeona jinsi magazet yalivyomkejeli huyo DC.? Inabidi alipwe ama Rais Amuombe radhi hadharani kama alivyo "MTUMBUA" hadharani
Dah. yani hii haiko powa kabisa. Inasikitisha sana.
Nikimuangalia yeye..nikimuangalia huyo mwandishi wa nyuma yake..
Sijui kama atakuja kusahau..labda apewe kikubwa zaidi!
Tizama huyo mwanahabari nyuma..anatamani kulia..Dah. yani hii haiko powa kabisa. Inasikitisha sana.