Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
mimi naishi mtwara masasi kwa siku moja umeme lazima ukatwe zaidi ya mara nane mfano mpira wa leo ilibidi nisikilize kwemye redio wakati ulikua unaoneshwa live, naongea na ww hapa umeme umezimwa tenambona sasa hali imetengama
Wewe humuogopi?Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku moja na zaidi mida ya usiku.
Yani nimekaa kwangu nimelipia kuunganiahiwa umeme na nimenunua umeme na bado nakosa umeme na bado serikali imekaa kimnya.
Kwanini mama anamuogopa sana January Makamba hawezi kumuwajibisha katika wizara yake kwa utendaji wake mbovu wa kazi?
Wewe humuogopi?kiukweli bimkubwa anamuogopa sana january makamba
Hapa Dom napo wamekata muda huuMbeya soweto wanekata dakika 5 zilizopta
KawaidaHapa Dom napo wamekata muda huu
Wanaweza kugawa majimbo tu mambo ya msingi zerombona umechelewa sana kujua ?
allah pekee ndio namuogopa ila yeye namuheshimu tuWewe humuogopi?
kila sikua hali mdio hiiMbeya wamerudisha kpara ajengewe sanamu
poleni sana nafikiri mvua zinachangiamimi naishi mtwara masasi kwa siku moja umeme lazima ukatwe zaidi ya mara nane mfano mpira wa leo ilibidi nisikilize kwemye redio wakati ulikua unaoneshwa live, naongea na ww hapa umeme umezimwa tena