G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,598
- 36,027
Miongoni mwa mambo yaliyotia dosari kubwa kwenye serikali ya rais Magufuli ni sakata la bomoa bomoa! Wadau tulisimama tukapinga na kuonya kila siku bila kusikilizwa!
Sakata hili limeambatana na uonevu mkubwa dhidi ya raia masikini! Limefanywa bila kuzingatia haki za binadamu!
Serikali ya rais Magufuli imekiri udhaifu dhidi ya sakata hili la bomoa bomoa lililokuwa na makosa mengi kiufundi!
Rais Magufuli amekuwa mtu wa kusisitiza kutokuwalea wale wasiowajibika vyema kwenye majukumu yao! Tayari tuna mawaziri wawili wa mazingira pamoja na nyumba na makazi ambao ndiyo hasa walioshindwa kusimangwa hili swala!
Tunaomba rais Magufuli awachukulie hatua mawaziri hawa pamoja na wale wote wanaohusika ili kuendeleza ile kauli mbiu yake ya kutokuwalea wazembe!