Serikali imesema itawarudisha wahamiaji haramu wa Ethiopia waliokamatwa

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Serikali imesema kuwa itawarudisha mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia, ambao wameingia nchini kinyume cha sheria wakitaka kuelekea nchini Afrika ya Kusini.

Tanzania inatajwa kama moja ya nchi ambayo inatumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia na Somalia kuelekea Ulaya na Afrika ya Kusini.

Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga amesema kuwa serikali iko kwenye operesheni maalum ya kuwakamata wahamiaji haramu kutoka Ethiopia na watu kutoka mataifa mengine wanaoishi nchini kinyume na sheria.

Mwezi uliopita polisi iliwakamata wahamiaji haramu 40 kutoka Ethiopia, ambao walitekezwa na mtu aliyekuwa anatakiwa awasafirishe mpaka Afrika Kusini.

Waziri Kitwanga amesema kuwa kuna wahamiaji haramu wengi wanaishi nchini kinyume cha sheria, na serikali haitasita kuwakamata wahamiaji wote haramu.

==============================

Tanzanian authorities have threatened to deport hundreds of Ethiopian migrants who have crossed into the country illegally while trying to make their way to South Africa.

The east African country is a major transit route for migrants, used by smugglers to ferry Ethiopians and Somalis to South Africa and Europe.

Charles Kitwanga, Tanzania's home affairs minister, said the government had launched a special operation to arrest and prosecute Ethiopians and other foreigners living or working illegally in the country.

Last month, police detained more than 40 Ethiopian migrants, reportedly abandoned by their agent who had promised to smuggle them to South Africa. They were crammed in a two-roomed house in a suburb of Dar es Salaam.

"There are too many foreigners who live in our country illegally, we will not hesitate to arrest and deport them," Kitwanga told the Thomson Reuters Foundation on Monday.

Ethiopia is experiencing its worst drought in 50 years, with more than 10 million people unable to feed themselves because their crops and animals have died.

The Ethiopian migrants who pass through Tanzania travel thousands of miles packed into trucks. In June 2012, some 45 Ethiopian migrants were found dead after they suffocated in a container truck transporting them in central Tanzania.

According to the government, migrants usually pay traffickers around $1,000 to $2,000 to reach South Africa.

The traffickers have safe houses and contacts in Tanzania and Malawi where the migrants are held, and sometimes look for work, until they are able to move on.

Source: Reuters
 
Serikali imesema kuwa itawarudisha mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia, ambao wameingia nchini kinyume cha sheria wakitaka kuelekea nchini Afrika ya Kusini.

Tanzania inatajwa kama moja ya nchi ambayo inatumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia na Somalia kuelekea Ulaya na Afrika ya Kusini.

Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga amesema kuwa serikali iko kwenye operesheni maalum ya kuwakamata wahamiaji haramu kutoka Ethiopia na watu kutoka mataifa mengine wanaoishi nchini kinyume na sheria.

Mwezi uliopita polisi iliwakamata wahamiaji haramu 40 kutoka Ethiopia, ambao walitekezwa na mtu aliyekuwa anatakiwa awasafirishe mpaka Afrika Kusini.

Waziri Kitwanga amesema kuwa kuna wahamiaji haramu wengi wanaishi nchini kinyume cha sheria, na serikali haitasita kuwakamata wahamiaji wote haramu.

==============================
Mkuu
Usiongee kama inatajwa inalazimika kutokana na Geographical position yake kuwa iko katikati lazima wapitie hapo!
Uliza Wagogo ndio kiswahili cha panya road kilitoka.
Katika njia zao panya ukikaa wakati wa mahangaiko yako utawaona haya nyoka bwana njia Maalim.
So Tanzania ni moja ya njia ya wahamihaji haramu mnavyowaita kupitia kwenda South Africa.
 
Mkuu
Usiongee kama inatajwa inalazimika kutokana na Geographical position take kuwaviko katikati lazima wapitie hapo!
je waethiopia ni wengi kuliko wahindi? jamani , mbona tunakomaa na waethiopa tuu wakati WAHINDI NA WACHINA WAMEJAA HUKU MTAAN
 
Back
Top Bottom