Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,145
Sina mengi ya kuongea sababu ulichokisema umeniwakilisha nami kwanza utengwaji hajauweka wazi kwa kweli tuna shida sana na uwasilishaji wa vitu haihitaji uwe mwandishi ndio utoe khabari nzuri kwa mada kama hii
Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu,Kupigana vita Uganga,Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo,Kubadarisha Elimu Mkoa wa Shinyanga,Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa,Lkn Serikali ya awamu ya4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya5 pia kuendelea na Ban kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako,wanafiki ndio wajaliwao.Inasikitisha sana.
MTU akilazwa hospitali kama Lugalo katelekezwa?Mnataka Magufuli au Mwamnyange alale naye wodini kummwuuguza ndio mjue wanamjali au nini?Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu,Kupigana vita Uganga,Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo,Kubadarisha Elimu Mkoa wa Shinyanga,Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa,Lkn Serikali ya awamu ya4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya5 pia kuendelea na Ban kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako,wanafiki ndio wajaliwao.Inasikitisha sana.
Hivi nyinyi kama wewe huwa mmesoma madarasa mangapi hadi msielewe ama hamkusoma hata comprehension?Mkuu unaweza ukawa na pointi ya maana ila sasa hauleweki. Jambo linalolisoma ni LAWAMA tu.
Hasa ulitaka kusema nini ili tuchangie ? Na
AMETENGWAJE?
Hapo itatusaidia.
Tulichunga ng'ombe wengine mkuu wakati wewe UKISOMA TUSAMEHE!Hivi nyinyi kama wewe huwa mmesoma madarasa mangapi hadi msielewe ama hamkusoma hata comprehension?
Au labda teuzi za awamu ya 5?? Baada kuwaona wanajeshi kibao wameteuliwa? Jamani ni umri pia......umeshampita apumzike imetoshaBrig ni One star General.....sasa hasemi amesahaulika kivipi??
Kwani kigezo hicho mbona ni wengi waliotengwa?Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu,Kupigana vita Uganga,Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo,Kubadarisha Elimu Mkoa wa Shinyanga,Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa,Lkn Serikali ya awamu ya4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya5 pia kuendelea na Ban kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako,wanafiki ndio wajaliwao.Inasikitisha sana.
Mkuu samahani sana. Nilikuwa nina maana ya 1 star general lakini akili na vidole vikawa havisomani. Hizo ni anga zangu kaka. Hiyo ya Kiwelu ilikuwa ni ya kipekee manake katika jeshi letu utamaduni umekuwa kwamba kunakuwa na one four star general at a time na ndio anakuwa CDFMkuu Kimbunga nadhani umeteleza kama Balele alikuwa Brg Gen basi ni one star general si four star Gen.Brg Gen ni one star Gen,Major Gen ni two star Gen,Lt Gen ni three star Gen na General ni four star Gen.Hapa Tanzania four star General ni wakuu wa majeshi CDF,four star General ambaye hakuwa CDF ni General Tumainiel Kiwelu huyu alikuwa Chief of Staff wenzake wote waliishia three star General (Lt General).
Sawa brother it was a technical error.Huyo ni 1 star general sio 4,4 ni mwamunyange.
Mada za wapambe hizo. Usiumize kichwa.Siku hizi JF tuna shida kubwa; sasa hapa ndio umesema nini kwa hadhira yako?
Mnatupa wakati mgumu kuelewa mmeandika kitu gani.
Yes 4 stars General Balele amewahi kuwa Dr. huko Lugalo na pia kuwa Mkuu wa Mikoa fulani.
Hizo ni facts sasa kusema sijui katengwa mbona hujasema katengwa ki vipi? Hapati haki zake au ni nini?
Pamoja na kuitumikia serikali kwa mda mrefu, kupigana vita Uganga, Kutibu wagonjwa Mashuhuri ktk Hospital ya Kijeshi Lugalo, Kubadilisha Elimu Mkoa wa Shinyanga, Kuisimamia Simiyu mpaka kuwa Mkoa, lakini Serikali ya awamu ya 4 haikuona hayo yote na Serikali ya awamu ya 5 pia kuendelea na ‘Ban’ kwa huyu muheshimiwa.
Kweli tenda wema nenda zako, wanafiki ndio wajaliwao.
Inasikitisha sana.
Huekeweki. Ametengwa kivipi?Alokwambia wana kumbuka ni nani? Tenda wema[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji21][emoji21]