inaonekana hampigi kura!! hivi IDD ilikuwa lini? maana tangu tunaikosakosa idd, tayari tushapewa vyetu. na tulishuhudia foleni never happened b4.
kama hujapata jichunguze mwenyewe kama ni mfanyakazi maana wanaendelea na data cleaning. cheti kimoja hakitolipa watumishi wawili. mmoja atapata mwingine atakosa.