Hawa Uingereza si marafiki wa kweli. Yaani taifa kubwa linatoa misaada ya chandarua? Bora China, rafiki wa kweli
Hawa Uingereza si marafiki wa kweli. Yaani taifa kubwa linatoa misaada ya chandarua? Bora China, rafiki wa kweli
wana ndoa/wenza mnashauriwa kutokununiana kwa msaada wa watu wa Marekani in exchange of Gold, Uranium, Diamond, Nickel, Gas, Umeme wa Bei mbaya na Gas... I wish kizazi hiki kingekufa chote maana mnawatia aibu ancestors wetu kwa kushindwa kujitawala...
Na tena tunapiga hatua manake tuna mpango wa Matokeo Makubwa Sasa(MMS), tunasonga mbele
Nafikiri ungepaswa kuhoji nchi iliyojaa rasilimali kibao still hata vyandarua inashindwa kuwapa wananchi wake bure!!!!!
Hawa Uingereza si marafiki wa kweli. Yaani taifa kubwa linatoa misaada ya chandarua? Bora China, rafiki wa kweli
Muafrika ameletwa duniani ili atawaliwe milele na mzungu.
Mtu mzima amepewa kila kitu lkn bado hawezi ku-manage rasimali na maisha ktk nchi yake.
Poor idiot watawala wanaotawaliwa
Misaada mingine ni kujidhalilisha tu. bora imesitishwa
Hawa Uingereza si marafiki wa kweli. Yaani taifa kubwa linatoa misaada ya chandarua? Bora China, rafiki wa kweli
Kikwete alienda Canada miezi michache iliyopita kwenye mkutano wa mama na mtoto. Sijui alidanganya nini huko mpaka ika raise red flag.
Sasa kama mnajua hilo mbona viongozi wako ndio wanenda kuomba hiyo misaada ya vyandarua, alafu wanatoa madini yetu bure.Misaada mingine ni kujidhalilisha tu. bora imesitishwa