Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,381
Mapunjo!Nazungumzia mapunjo ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wakiwemo wahudumu wa afya na walimu.
Fomu za kudai mapunjo hayo zilijazwa tangu mwezi January 2020 lakini hadi leo hii hakuna taarifa yoyote juu ya kulipwa.
Hii hali inawakera watumishi waliopunjwa
Nimelima mwaka huu mpunga umesombwa na maji mvua kubwaMapunjo!
Ukiskia mtumishi anatumia Msamiati mapunjo ni kielelezo cha Ukongwe kazini au kukariri vitu. Anyway sikuhizi hakuna kitu kinaitwa MAPUNJO hilo neno lilishatoweka kwenye kamusi za Kikoloni Umepunjwa na nani sasa. Kwa sasa wanaita MALIMBIKIZO...
Mkuuu kuajiriwa ni Utumwa na Utakufa maskini, ukitaka Utajiri njoo Namanyere tulime Mpunga na Mahindi hutajuta.
Pole Mkuu usikate tamaa, mwakani lima zaidi utakuja kutoka tuNimelima mwaka huu mpunga umesombwa na maji mvua kubwa
Nazungumzia mapunjo ya mishahara kwa watumishi mbalimbali wakiwemo wahudumu wa afya na walimu.
Fomu za kudai mapunjo hayo zilijazwa tangu mwezi January 2020 lakini hadi leo hii hakuna taarifa yoyote juu ya kulipwa.
Hii hali inawakera watumishi waliopunjwa
2015 hawaja lipwa kabisa,na wala hawazungumzwi.Sioni dalili na hali hiiUnaongelea malipo ya January 2020 watu tunadai malipo ya toka 2015 huyo jiwe wenu alipo ingia madarakani?
Mkuu ww ni mtumishi? una uhakika na kitu unaongea? au awamu ya malipo yako haijafika tu?
Awamu hii haijali shida za watu bali inajali vitu tu.