Moja kwa moja kwenye mada. Serikali ikiamua kutekeleza mpango wa kuajiri walimu wa masomo ya sanaa ngazi ya shahada kufundisha primary. Je, haiwezi kuzua migogoro na migongano ya kimaslahi mashuleni?
Ukizingatia kutakuwa na makundi matatu ya walimu. i.e walimu wa cheti, Diploma na Degree.
Je, kama serikali imejidhatiti vipi kuwasaidia walimu wa masomo haya kutumia taaluma zao kwa manufaa ya nchi yetu?
Mnaongelea walimu wa bachelor huku primary wapo PhD candidates na bado wanafundisha upishi wa visheti
Muwe serious tofautisha Elimu yako na takwa la mwajiri