Serikali ijitathimini

Serikali ijitathimini

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
484
Elimu bure na ujinga unaoendelea.
Ukweli mchungu


watoa maamuzi Walipaswa
kuwatambua watoto ambao wangestahili hiyo elimu bure. Sehem ya iyo fedha wawalipie chakula.

Kwa Sasa Hali ni mbaya Sana. Watoto wa maskini hawali kabsaa, wenye kajiuwezo wanakataa watoto kulipia chakula wanawapa 2000 Kila siku.

Kadhalika, kutoa posho kwa baadhi ya watumishi ikiwa ni pamoja na maafisa elimu wilaya, maafisa elimu kata, walimu wakuu na kuwaacha watendaji kata, walimu, manesi ni upuuz was kiwango Cha lami.

Leo nilisikiliza hotuba ya RC chalamila mkoani dar es salaasm. Serikali ijitathimini, imejenga Tabaka te tetea na kukubali bila kusema uozo unaoendelea. Kama no posho waweke kwa wote.

Leo madakttari, waalimu na manesi, wataalam mbalimbali wanaamua kufungua biashara zao na kuwaacha hao wakuu wakifanya unafiki.

Nchii hii hata magufuli alikuwa walewale.

Mbaya zaidi wenye vijisent vyao wanaishia kwenda kunywa komoni sinwaliam iwa wafyatue watasomeshewa watoto. Ni nani kakwambia hata nchi tajiri wanasoma free 100% tuache uchawi. Tunajichawia wenyewe. Leo hii baada ya watoto was masking kupata elimu duni, watoto wa matajiri wataendeleankushika madaraka kama sio leo kesho.

Mwaka 2050 matajiri wenye uwezo ukwasi watawaongiza wenye Hali duni utumwa na maasi hayataisha. Usipochukua hatua Leo utasababisha madhara makunwa Kwa yatima na maskin na utaulizwa.

Kwa mfn. Achana na marekani na ulaya, china,Korea nk Hawa familia duni wanauwezo was kuja kuongoza nchi zao. Je sisi
 
Back
Top Bottom