Serikali ijenge kiwanda cha Ubuyu Dodoma

MPHINGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
518
Reaction score
617
wakuu hakuna asiyejua miongoni mwetu kuwa,jiji la DODOMA linaongoza kuwa na UBUYU mwingi tena mtamu, sasa kwa nini kisijengwe kiwanda cha kutengeneza ubuyu?
 
Manispaa ya mji wa dodoma ndyo kuna Mibuyu au huko vijijini?
 
kuliko waparamie mibuyu bora waende pembeni mwa jamatini stand kupata chochote😀😀
 
wewe hujui kiswahili, jifunze mji ukiwa mkubwa unaitwa jiji na kijiji kikiwa kikubwa kinaitwa mji mdogo
Kweli una akili za ki bashite
..... Nn umeviandika AF ujue kuna wakubwa umu embu rudi shule kwanza sasa ndani kakwambia dom kuwa mji mkubwa ndoushapewa hadhi ya nn shubaamit
 
Sicomment chochote nisije kuonekana na Mimi napenda sana ubuyu

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
wakuu hakuna asiyejua miongoni mwetu kuwa,jiji la DODOMA linaongoza kuwa na UBUYU mwingi tena mtamu, sasa kwa nini kisijengwe kiwanda cha kutengeneza ubuyu?
kama unahitaji ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…