Serikali ifute somo la General Studies kwa Advance Level


tashwishwi

tashwishwi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
1,495
Likes
1,264
Points
280
tashwishwi

tashwishwi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2014
1,495 1,264 280
Heshima kwenu wadau wa elimu.

Leo nimekuja na hii, nimekuja na hoja ya kumpiga teke chura..
Takribani miaka kama miwili hivi iliyopita na kurudi nyuma huko somo la General Studies lilipewa uzito stahiki kwa wanafunzi wa advance kwa sababu mwanafunzi asipopata subsidiary kwa somo hili la GS alikua anapigwa penalty na kuna baadhi ya vyuo ulikua huwezi kusoma baadhi ya course bila kuwa na subsidiary ya GS.

Jambo la kushangaza ni kuwa sasa hivi somo hili mwanafunzi afaulu au afeli wala halina effect katika matokeo yake maana halina penalty

My take.
Kwa namna yoyote ile kwa mazingira haya huwez kumshawishi mwanafunzi asome somo ambalo halina madhara katika mtihani wake wa taifa.

kwanza kama mdau wa elimu natambua umuhimu wa somo hili na ni muhimu sana kwa wanafunzi wapate uelewa wa somo hili. lakini kama serikali imeamua kwa nguvu moja KULIDHOOFISHA ni vema sasa kulifuta kabisa ili itimize adhma ya kile inachokifanya.

NAWASILISHA!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,029