Ruzuku nayo ifutwe tu pesa ziende kuleta maendeleo vijijini.vyama vya siasa ni WATU wewe mataga. vitu ni kama midege mnayoendelea kununua.
Ruzuku nayo ifutwe tu pesa ziende kuleta maendeleo vijijini.
Sasa kama watakaoumia ni CCM kwanini Chadema hawataki kusikia ruzuku ikifutwa?..hilo halitafanyika, kwasababu watakaoumia zaidi ni ccm.
..viongozi wengi wa cdm haswa kwenye kanda na mikoani hawalipwi mishahara.
..wakati huohuo viongozi wa CCM wamezoea kuishi KIBWANYENYE wakitegemea RUZUKU kubwa na VYEO serikalini.
..CCM inapata ruzuku mara 9 au 10 kulinganisha na wanayopata CDM. Katika mazingira hayo usitegemee CCM waondoe ruzuku. Makada wao wataishi vipi?
'coz itawaumiza wao zaidiSasa kama watakaoumia ni CCM kwanini Chadema hawataki kusikia ruzuku ikifutwa?
Sasa kama watakaoumia ni CCM kwanini Chadema hawataki kusikia ruzuku ikifutwa?
Tusiangalie chama gani kinanufaika na ruzuku ifutwe tu kwa vyama vyote...kama ruzuku ingekuwa inawafaidisha cdm kuzidi ccm, basi by this time ccm wangekuwa wameishaifuta.
..ukumbuke ccm wana wabunge wengi hivyo hawashindwi kuondoa jambo lolote lile wasilolipenda.
..Ruzuku inawafaidisha CCM kuzidi vyama vya upinzani, na ndiyo maana CCM hawaifuti.
..Hata nafasi mbalimbali za uteuzi wa Raisi ambaye ni mwenyekiti wa CCM, kwa mfano wakuu wa mikoa na wilaya, CCM wanataka ziendelee kuwepo kwani ni kichaka cha kupachika makada wao wasiokuwa na qualifications na wasiomudu ushindani ktk soko la ajira.
..Jambo lingine wasilolitaka CCM ni kutenganisha Uraisi na Uenyekiti wa chama.
Tusiangalie chama gani kinanufaika na ruzuku ifutwe tu kwa vyama vyote.
Hakuna namna tunataka pesa za ruzuku zikalete maendeleo vijijini.Mhhhhh Sasa siii mbowe atafunga duka lake Hilo
Basi wabunge wa CDM, wapeleke hoja binafsi kwa Spika kwamba Ruzuku ya vyama ipeleke maji vijijini tuone..hilo halitafanyika, kwasababu watakaoumia zaidi ni ccm.
..viongozi wengi wa cdm haswa kwenye kanda na mikoani hawalipwi mishahara.
..wakati huohuo viongozi wa CCM wamezoea kuishi KIBWANYENYE wakitegemea RUZUKU kubwa na VYEO serikalini.
..CCM inapata ruzuku mara 9 au 10 kulinganisha na wanayopata CDM. Katika mazingira hayo usitegemee CCM waondoe ruzuku. Makada wao wataishi vipi?
Sasa kama watakaoumia ni CCM kwanini Chadema hawataki kusikia ruzuku ikifutwa?
Basi wabunge wa CDM, wapeleke hoja binafsi kwa Spika kwamba Ruzuku ya vyama ipeleke maji vijijini tuone
Basi wabunge wa CDM, wapeleke hoja binafsi kwa Spika kwamba Ruzuku ya vyama ipeleke maji vijijini tuone
Naunga mkono hoja.Kwa kuwa wapinzani wengi hasa CHADEMA wanashauri maendeleo si ya vitu ila yanatakiwa yawe ya watu, napendekeza serikali ifute ruzuku kwa vyama vya siasa ili pesa yote inayotolewa kwa ajili ya ruzuku itumike katika maendeleo ya watu vijijini, tofauti na ilivyo sasa pesa za ruzuku zinatumika kununulia vitu kama magari ambapo ni tofauti na msimamo wa wana CHADEMA walio wengi.
Kwa mfano ruzuku ya CHADEMA ni kama bilioni tatu kwa mwaka pesa hizi zisitolewe tena kama ruzuku kwa CHADEMA ila zipelekwe vijijini zikalete maendeleo kama wao wanavyoshauri pia kwa vyama vyote vinavyopata ruzuku iwe hivyohivyo.