Serikali ianze kutoa huduma ya Euthanasia bure kwa wananchi wahitaji!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,413
41,342
Hii huduma ni muhimu sana hasa kwa wale wagonjwa walio katika mateso makali mno.., i mean mateso yasiyovumilika na hakuna kabisa uwezekano wowote ule wa kupona hivyo dawa nzuri na ya uhakika ni kupigwa Euthanasia..,ambayo kimsingi ni kwamba daktari mwenye leseni anakupa usingizi wa kudumu (anakuua kitaaalam bila maumivu yeyote) na hapo ndio inakuwa mwisho wa mateso yako.
 
Nasikia kuna dawa za maumivu mixer bangi cocaine na ndio maana ni ngumu kutokomeza hii baashara
 
Screenshot_20240326-081653_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom