Serikali iangalie upya mfumo wa kuajiri

Serikali iangalie upya mfumo wa kuajiri

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,782
Reaction score
2,836
Umofia kwenu wana JF,

1. Kwa siku za karibuni kumekua na utaratibu mpya ambao ajira nyingi za serikali na taasisi zake zinahitaji kigezo cha cheti cha JKT. Hii imepelekea vijana wengi kukosa sifa za kulitumikia taifa kisa tuu hawakupitia JKT aidha kwa hiari yao wenyewe au kwakukosa nafasi za kujiunga na JKT. Mfano: kuna vijana walishindwa kujiunga na jkt kutokana na sababu za kiafya hivyo wakalazimika kuendelea na elimu ya juu. Leo wamehitimu na zinatoka nafasi za kazi ambazo zinalazimu muombaji awe na cheti cha jkt. Hili naiomba serikali iliangalie upya.

2. Kwenye ajiraportal nako kuna kasoro au tatizo la kimfumo ambalo linazuia watu kuomba kazi hata kama wanasifa zinazotakiwa au linganishi. Mfano: Zinatoka nafasi znazohitaji mtu aliye na diploma ya IT au sifa zinazoendana. Unakuta kwenye web wameandika kabisa equivalent qualification lakini mtu mwenye shahada ya IT hawezikuomba. Hata yule mwenye shahada ambae alianzia diploma nae hawezi kuomba, mfumo unakataa. Nimetolea mfano wa IT lakini kuna shida kubwa vijana tunakumbana nazo katika kuomba ajira serikalini. Hata ikitoka nafasi ya udereva na bachelor holder anayo, mfumo unakataa. Kuna watakaojiuliza kwanini mtu mwenye degree aombe udereva. Jibu utalipata kwenye aya inayofuata.

3. Nafasi za upendeleo kwa walio tayari serikalini. Hili linatufanya vijana tulio nje ya system tuendelee kubakia nje wakati waliopo wakihama toka idara moja kwenda nyingine kiulani tuu. Unakuta zinatangazwa nafasi za ajira na kigezo kinakuwa ni lazima uwe umeajiriwa serikalini, uombe kwa kupitisha barua kwa mwajiri wako ya kuomba kuhama idara. Kwanini isiwe fair play kwamba hata ambao hawapo kwenye mfumo nao waombe tuu? Inaumiza sana vijana.

4. Kigezo cha umri. Jamani kuna waliosoma kwa kuunga unga na hata ku disco chuo. Unakuta mtu unasoma maisha yanakuwa magumu una drop chuo au hata secondary kwenda kupambana na maisha hasa sisi tuliotoka kwenye familia duni. Unarudi chuoni unasoma na kuhitimu, hapo umri umeshasonga. Unarudi mtaani ajira hakuna, unakaa tokea mwaka 2015 hadi leo ndipo inatoka ajira zenye vigezo vya umri eti mwisho miaka30. Wakati mwingine wanaandika kabisa kigezo ni kwa waliohitimu labda kuanzia mwaka 2017 kuja juu. Hao wa chini wasubirie serikali yao wenyewe? kama siyo hii tunayoijua?

5. Utaratibu wa kuita watu kwenye usahili wa post chache Dodoma au Dar. Hivi haiwezekani usahili ukafanyika kikanda ili ku balance? Unakuta nafasi zimetangazwa 5 halafu wanaitwa watu 200 kwenda kufanya interview Dar bila kujali watu wanaoomba hizo nafasi wanatoka kila kona ya nchi hii. Wengine wanatokea mikoa ya mbali na Dar kama Kigoma, Mtwara, Mara, Mbeya n.k, unawaita Dar bila kujali nauli, malazi chakula na dharura wanapata wapi ukizingatia wengi ni jobless na wanatokea familia za maisha ya kuunga unga.

Yapo mengine ambayo wadau wanaweza kuongezea. Lengo ni serikali ielewe kuwa kwa hili tatizo la ajira nchini, wasilitumie vigezo vigumu ili tuu kupunguza idadi ya waombaji.

Nawasilisha.
 
Tatizo Supply ni ndogo sana kuliko Demand, Hayo mengine ni matokeo ya hio fact...
 
Umri UWE Miaka 45 Mwisho

Mambo Ni Mengi Sana Muda Mchache
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais
Utawala Bora Alione Hili Haraka
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Umofia kwenu wana JF,

1. Kwa siku za karibuni kumekua na utaratibu mpya ambao ajira nyingi za serikali na taasisi zake zinahitaji kigezo cha cheti cha JKT. Hii imepelekea vijana wengi kukosa sifa za kulitumikia taifa kisa tuu hawakupitia JKT aidha kwa hiari yao wenyewe au kwakukosa nafasi za kujiunga na JKT. Mfano: kuna vijana walishindwa kujiunga na jkt kutokana na sababu za kiafya hivyo wakalazimika kuendelea na elimu ya juu. Leo wamehitimu na zinatoka nafasi za kazi ambazo zinalazimu muombaji awe na cheti cha jkt. Hili naiomba serikali iliangalie upya.

2. Kwenye ajiraportal nako kuna kasoro au tatizo la kimfumo ambalo linazuia watu kuomba kazi hata kama wanasifa zinazotakiwa au linganishi. Mfano: Zinatoka nafasi znazohitaji mtu aliye na diploma ya IT au sifa zinazoendana. Unakuta kwenye web wameandika kabisa equivalent qualification lakini mtu mwenye shahada ya IT hawezikuomba. Hata yule mwenye shahada ambae alianzia diploma nae hawezi kuomba, mfumo unakataa. Nimetolea mfano wa IT lakini kuna shida kubwa vijana tunakumbana nazo katika kuomba ajira serikalini. Hata ikitoka nafasi ya udereva na bachelor holder anayo, mfumo unakataa. Kuna watakaojiuliza kwanini mtu mwenye degree aombe udereva. Jibu utalipata kwenye aya inayofuata.

3. Nafasi za upendeleo kwa walio tayari serikalini. Hili linatufanya vijana tulio nje ya system tuendelee kubakia nje wakati waliopo wakihama toka idara moja kwenda nyingine kiulani tuu. Unakuta zinatangazwa nafasi za ajira na kigezo kinakuwa ni lazima uwe umeajiriwa serikalini, uombe kwa kupitisha barua kwa mwajiri wako ya kuomba kuhama idara. Kwanini isiwe fair play kwamba hata ambao hawapo kwenye mfumo nao waombe tuu? Inaumiza sana vijana.

4. Kigezo cha umri. Jamani kuna waliosoma kwa kuunga unga na hata ku disco chuo. Unakuta mtu unasoma maisha yanakuwa magumu una drop chuo au hata secondary kwenda kupambana na maisha hasa sisi tuliotoka kwenye familia duni. Unarudi chuoni unasoma na kuhitimu, hapo umri umeshasonga. Unarudi mtaani ajira hakuna, unakaa tokea mwaka 2015 hadi leo ndipo inatoka ajira zenye vigezo vya umri eti mwisho miaka30. Wakati mwingine wanaandika kabisa kigezo ni kwa waliohitimu labda kuanzia mwaka 2017 kuja juu. Hao wa chini wasubirie serikali yao wenyewe? kama siyo hii tunayoijua?

Yapo mengine ambayo wadau wanaweza kuongezea. Lengo ni serikali ielewe kuwa kwa hili tatizo la ajira nchini, wasilitumie vigezo vigumu ili tuu kupunguza idadi ya waombaji.

Nawasilisha.
Namba 3 umechemka mkuu.
Iko hivi ukiona nafasi inatangazwa inataka wa serikalini humo humo maana yake sio ajira mpya. Kuna watu huwa wanachoka kufanya kazi sehemu moja wanahitaji kubadilisha mazingira, kubadilisha kada, mwingine kule alipo na kazi anayofanya sio anayopenda so akihama anaenda kufanya anachopenda.

Lakini vile vile kuna sehemu zina watumishi wachache wa fani flan ilihali sehemu zingine hiyo fani wapo watu kibao hata kazi hakuna hivyo idara/taasisi husika inaweza kuwapa kibali cha kuhamia kwingine.

Hii ni tofauti sana na kuajiri mtu mpya, kama unapungukiwa maafisa waandamizi labda fani ya Tehama, njia rahisi ya kuwapata ni kutangaza nafasi za kuhamia, ukitangaza ajira mpya utapata mtu ambaye kiutumishi ataanza cheo cha Afisa tehama II na zero experience kwenye kazi za mafaili ya Serikali.

Na hicho huwa ni kibali cha watu kuhamia sio kibali cha ajira mpya, mpaka ajira mpya itoke lazima Ikama ya bajeti iwepo kwa mwaka wa fedha husika.
 
Tangu zamani vyombo vya ulizinzi ikiwemo polisi,magereza,zimamoto,tanapa,uhamiaji,takukuru huwa wanachukua vijana jkt sioni kipya
 
Ajira portal inazingua sana ,kuna haja ya kufanya mabadiliko
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Mungu awasaidie mpate ajira wadogo zangu. Sisi kaka zenu tuliosoma ngumbalu tutaenda kutafuta kazi Mafinga kwenye viwanda vya Wachina.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Umofia kwenu wana JF,

1. Kwa siku za karibuni kumekua na utaratibu mpya ambao ajira nyingi za serikali na taasisi zake zinahitaji kigezo cha cheti cha JKT. Hii imepelekea vijana wengi kukosa sifa za kulitumikia taifa kisa tuu hawakupitia JKT aidha kwa hiari yao wenyewe au kwakukosa nafasi za kujiunga na JKT. Mfano: kuna vijana walishindwa kujiunga na jkt kutokana na sababu za kiafya hivyo wakalazimika kuendelea na elimu ya juu. Leo wamehitimu na zinatoka nafasi za kazi ambazo zinalazimu muombaji awe na cheti cha jkt. Hili naiomba serikali iliangalie upya.

2. Kwenye ajiraportal nako kuna kasoro au tatizo la kimfumo ambalo linazuia watu kuomba kazi hata kama wanasifa zinazotakiwa au linganishi. Mfano: Zinatoka nafasi znazohitaji mtu aliye na diploma ya IT au sifa zinazoendana. Unakuta kwenye web wameandika kabisa equivalent qualification lakini mtu mwenye shahada ya IT hawezikuomba. Hata yule mwenye shahada ambae alianzia diploma nae hawezi kuomba, mfumo unakataa. Nimetolea mfano wa IT lakini kuna shida kubwa vijana tunakumbana nazo katika kuomba ajira serikalini. Hata ikitoka nafasi ya udereva na bachelor holder anayo, mfumo unakataa. Kuna watakaojiuliza kwanini mtu mwenye degree aombe udereva. Jibu utalipata kwenye aya inayofuata.

3. Nafasi za upendeleo kwa walio tayari serikalini. Hili linatufanya vijana tulio nje ya system tuendelee kubakia nje wakati waliopo wakihama toka idara moja kwenda nyingine kiulani tuu. Unakuta zinatangazwa nafasi za ajira na kigezo kinakuwa ni lazima uwe umeajiriwa serikalini, uombe kwa kupitisha barua kwa mwajiri wako ya kuomba kuhama idara. Kwanini isiwe fair play kwamba hata ambao hawapo kwenye mfumo nao waombe tuu? Inaumiza sana vijana.

4. Kigezo cha umri. Jamani kuna waliosoma kwa kuunga unga na hata ku disco chuo. Unakuta mtu unasoma maisha yanakuwa magumu una drop chuo au hata secondary kwenda kupambana na maisha hasa sisi tuliotoka kwenye familia duni. Unarudi chuoni unasoma na kuhitimu, hapo umri umeshasonga. Unarudi mtaani ajira hakuna, unakaa tokea mwaka 2015 hadi leo ndipo inatoka ajira zenye vigezo vya umri eti mwisho miaka30. Wakati mwingine wanaandika kabisa kigezo ni kwa waliohitimu labda kuanzia mwaka 2017 kuja juu. Hao wa chini wasubirie serikali yao wenyewe? kama siyo hii tunayoijua?

Yapo mengine ambayo wadau wanaweza kuongezea. Lengo ni serikali ielewe kuwa kwa hili tatizo la ajira nchini, wasilitumie vigezo vigumu ili tuu kupunguza idadi ya waombaji.

Nawasilisha.
RAIS AIONE HII KWENYE JALADA
 
Ajira portal inazingua sana ,kuna haja ya kufanya mabadiliko
Bora sasahivi tamisemi na wizara ya afya wameamua kuachana na hii kitu(ajiraportal). Ilikuwa kikwazo sana na chaka la kupachika majina ya watu wao kwenye database ili wapangiwe tuu kazi moja kwa moja nafasi zikitoka
 
Bora walivyojitoa tu hapo
System inakera ile
Kupokea tu simu inabidi uwe mvumilivu kweli
 
Bora sasahivi tamisemi na wizara ya afya wameamua kuachana na hii kitu(ajiraportal). Ilikuwa kikwazo sana na chaka la kupachika majina ya watu wao kwenye database ili wapangiwe tuu kazi moja kwa moja nafasi zikitoka
Utumishi bado wanatumia ajiraportal kiongoz.
 
  • Thanks
Reactions: JMF
Utumishi bado wanatumia ajiraportal kiongoz.
Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko field
 
Bora sasahivi tamisemi na wizara ya afya wameamua kuachana na hii kitu(ajiraportal). Ilikuwa kikwazo sana na chaka la kupachika majina ya watu wao kwenye database ili wapangiwe tuu kazi moja kwa moja nafasi zikitoka
Na ndio wanafanyaga Kila kukicha kumanina hawa..
Aaah wanaboah bwana hebu nipunguzie asira kidogo.
 
Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko field
Acha uchangudoa basi.. yaan umeamua kutujazia server zetu za JF na hili listatement lako..!!!!
Kama huna kazi kalale kakojoe ukalale Boss.
 
Guys yaani mifumo ya ajira za watz mbona kama zina watu frani tu..... yaani juzi tumeenda utumishi dar tumejibiwa utadhani ni wakimbizi.... yaani mtu akiisha kuajiriwa basi kuwahudumia wenzake inakuwa kero kwake....... Heeeeh Mora tupe yaliyo yako
 
Ndomaana hata mh waziri alitamka wazi kuwa vijana ambao hawajapata mikopo ni wakenya. Waliopo kwenye system wanaona vijana waliopo nje ya system kama takataka
 
Back
Top Bottom