Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Suala la serikali kutoa elimu bure ni nzuri na sisi kama wananchi bila kujali itikadi ya vyama vyetu tunamuunga mkono mh. jPM. Serikali imeahidi kutoa kutoa sh 10,000 kwa kila kichwa cha mwanafunzi kwa shule za msingi jambo ambalo ni zuri lakini hiki kiwango ni kidogo sana kwa kulinganisha na mahitaji husika ya shule (hasa zenye wanafunzi wachache) labda kama serikali itaamua kubeba gharama nyingine.
Mfano kwa shule yenye wanafunzi 700
Mgao toka serikalini 350*10,000=3,500,000 kwa mwaka
Matumizi:
Mlinzi 100,000*12=1,200,000 kwa mwaka na kama ni wawili zidisha hapo
Kiwango kinachobaki kigharimie
maji, umeme, ukarabati wa madawati na vyoo, mhuri wa shati, mitihani ya kujipima ya kila wiki kwa darasa la saba n.k
Kwa mtazamo wangu ni kuwa kama hiki kiwango hakitaongezwa tutarajie hali mbaya zaidi kupita maelezo