Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,448
- 1,623
NA BADO.. HESHIMA YA WATUMISHI WALIODHARILISHWA ITARUDI TARATIBU.
Amini usiamini Wauguzi woote waliosimamishwa kazi Temeke hospital wameamriwa kurudi kazini Mara moja baada ya kuonekana hawana hatia na mama anaedaiwa kuombwa alfu 5 amekanusha na wote wamelia kwa uchungu saana pamoja na mama huyo akidai ni uonevu umelifanyika.
Mungu hadhihakiwi asante yesu.
Kulikua hakuna glove na nikawaida wagonjwa kwenda kununua kwan supply huwa haitoshelez kabisaaa .sasa mgonjwa aliambiwa na nesi coz huna glove jiandae ,mgonjwa akauliza zinauzwa sh ngapi ?nesi akamjibu walao sh 5000.
Sasa yule mzaz akawapigia ndugu simu akawaambia anatakiwa wamletee 5000 ya glov ,ndugu wakajua labda nesi anataka rushwa hivo inavosemekana wao walimjulusha wazir na do mana waziri alipokuja alikuja specific kwa mgonjwa huyo,
Tume imewahaji wote pamoja na mgonjwa amesikitika na analia na akagomea matibabu akitaka manesi wasihukumiwe yani ni aibu kubwa kwa waziri na serikal makini kama hii,
Na usiku wa tukio kulikua na maternal death 2 na fsb za kutosha coz nurses walio cover hawakua compitent
** Sent as RECEIVED****