walimu hawawezi hata siku moja kufanya maamuzi hayo sababu kwanza niwaoga sana na hawazijui haki zao na pia walimu baadhi yao wana unafiki sana na kupenda kujipendekezaSerikal ya ccm inawadharau sana walimu, wakati walimu ndo kila kitu maana hata huyo rais kafundishwa na walimu,
Halafu ndo wanadharaulila kwl serekal.
Walimu kuwen na mshikamano tanzania nzima, gomen hata mwezi naamin watakopa hata nje,
Mbona wabunge wakikohoa kidogo tu wanaongezwa maposho kibao,
Ifikie mahala walimu muungane kudai haki zenu,
DHAMBI KUMBWA KULIKO ZOTE DUNIAN NI UOGA!!
Mwaka jana serikali iliidhinisha katika bunge la budget fedha za wizara ya elimu haswa mpaka ile ya mafunzo kwa vitendo kwa walimu wa diploma.Wonderful enough mpaka leo walimu sisi,kwa mujibu wa btp iliyoanza tarehe 03 mwezi huu wa tatu tumepewa hela za siku kumi tu badala ya 46 na zilizobaki till this time ni Mawenge!shame on this Poor leading government.
Poleni sana, efd wafanyabiashara hawaitaki, bunge la katiba hela haiwatoshi, changamoto ni nyingi lakini usikate tamaa