KERO Serikali haijaanza kutumia Muundo mpya wa utumushi kwa wauguzi na wakunga

KERO Serikali haijaanza kutumia Muundo mpya wa utumushi kwa wauguzi na wakunga

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Serikali iliahidi kuanzia kutumika rasmi Mwezi Julai 2025 muundo mpya wa utumushi kwa wauguzi na wakunga, lakini haijaanza kutumika rasmi kama ilivyo ahidi.

Tunaomba tujue kama ahadi ilikuwa ya kweli au ni masuala ya kisiasa maana muundo uliopo wa sasa sio rafiki kabisa kwa wauguzi wenye elimu ya kuanzia degree kwenye masuala ya maslahi na mambo mengine.

Screenshot_20250723-103839_1.jpg
 
Back
Top Bottom