Serikali bado inakubali biashara hii?

ofisa

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2011
Posts
4,361
Reaction score
4,109
Rejeeni tangazo la uuzwaji wa viwanja kwa kupitia serikali ya vijiji.
Mi binafsi nimeshuhudia mgogoro mkubwa wa viwanja kange kasera kwa watu walionunua kuputia serikali ya kijiji kwani mwenye kiti hakuwa na kumbu kumbu sahihi kuwa wapi pameuzwa wapi bado.
Ningependa kujua kutoka kwa watu wa ardhi kam hivi vimepa baraka yao.
 

Attachments

  • Screenshot_20180120-071211.jpg
    163 KB · Views: 41
Serikali ya ccm inakubali biashara zote ndiyo maana haitaki kuchoma moto pembe za ndovu na faru, nchi kama Malawi, Kenya n.k. zimechoma moto Tanzania hatutaki kuchoma moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…