Serikali umezindua issue ya card za matibabu ya wazee wakati hata issue ya vitambulisho vya taifa haijaisha.Hospital zenyewe hazina madawa sasa hao wazee sijui matibabu watapata vipi.Acheni masihala na siasa zenu za zamani aisee....2020 sio mbali[emoji44][emoji44]