Serikali 3 hazikwepeki

Serikali 3 hazikwepeki

Zanzibar+Tanganyika=Tanzania

Tanzania-Zanzibar=Tanganyika

Wao wana utambulisho wao sisi hatuna,halafu wanataka chetu chao,na chao si chetu,chako changu,changu si chako.
 
Nina wasiwasi siku tukitofautina hatutagundua kwa urahisi Adui ni nani.kweli wazanzibari hatari sana.bora ukondoo wa bara kulikoni hawa wajinga.
 
Nina wasiwasi siku tukitofautina hatutagundua kwa urahisi Adui ni nani.kweli wazanzibari hatari sana.bora ukondoo wa bara kulikoni hawa wajinga.

Mkuu tafadhali bana hakuna wajinga huku, utitukane watu kwa upuuzi wa siasa za CCM.
 
Wazanzibar ni wanafiki wakubwa, ni vigeugeu wakubwa! Wakiwa bara wananywea, wakivuka bahari maneno meengi! Nimeamini kutawaliwa na waarabu ni shida kwelikweli.
 
Back
Top Bottom