man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,348
Season 1 mpaka 2 ilikua poa Sana ila baadae story yao ilipoteza mvuto kabisa hawakua na innovation na ideas za kutosha nadhani kadri series ilivyokua inasonga mbele.lost ni unyama mkuu
Season 1 mpaka 2 ilikua poa Sana ila baadae story yao ilipoteza mvuto kabisa hawakua na innovation na ideas za kutosha nadhani kadri series ilivyokua inasonga mbele.lost ni unyama mkuu
AhahhahaahBadala utafute hela unawaza kuiba avatar ya Joseverest
Nakwambia huyu HR 666 mara jordi pola, sijui YEZUUS, YEZUUS 2 na sasa anajiita CURICULLUM kapoka avatar ya Joseverest, halafu mbaya zaidi hata kitabia wako tofauti kabisa! kiasi kwamba mtu akiangalia haraka haraka upuuzi wa huyo mwizi wa avatar kama hakuangalia ID atashangaa hivi Jose alivyopotea ndio karudi ki hivi! kumbe ni HR 666 na ID yake mpya ya CURICULLUMAhahhahaah
Hii ya kichawi chawi yani ule urozi haswa siyo wa kitabu bali wa miziziology kama wa kiafrika wanaelezea zama ambapo uchawi huko marekan ambapo walikuwa wanachoma wachawi hadharani.kaka hii saleem ikoje
Mkuu hiyo inahusu magic na witches.kaka hii saleem ikoje
Hizo za kundi la pili hapo juu [intelligence]mkuu kati ya hizo hakuna ya drug dealers au yakimafia yoyote
1. Game of thrones
2. Breaking Bad
3. Narcos
5. House of cards
6. Marco Polo
7. Da Vinci and demons
8. Lost
9. The 100
10. Queen of South
11. Ray Donovan
12. The originals
13.. Teen wolf
14.. Shameless
15. Mr. Robot
16. Stranger things
17. Salem
18. Penny dreadful
19.Vampire dairies
20. Supernatural
21.. Prison break
22. Preacher
In that order.
aisee kati ya hizo ipi ya kimafiaGame of thrones...Narcos...Scorpion...Power...Banshee...Beyond...Into the badlands...Luke Cage...Daredevil...Defenders...24 legacy...Strike back...The blacklist...Shooter...Person of Interest...Tyrant...Suits...How To Get Away With Murder...Lucifer...Madam Secretary...Designated Survivor...Silicon Valley...Stranger Things...The 100...The Crown...The Flash...The Originals...The Royals...Wayward Pines...Queen Of The South...Ransom...Rosewood...Quantico...Gotham...Legends Of Tomorrow...Billions...Ballers...Blackish...Brooklyn Nine Nine...Arrow...Nikita...Prison Break...Reign...Modern Family...Hustle...Lie To Me...House Of Cards...Entourage...Da Vinci's Demons...Allegiance...Agents Of Shield....Breaking Bad...Homeland
Dah mkuu umenifny nije kwa pupa kweny Uzi wako baada ya kuiona shooterLeo naomba tushee kitu kimoja tuone kama tutapata movie maniac mate humu. mimi napenda series za drug dealer zaidi na zile ambush ambush zao haswa zikichezewa amerika ya kusini kuhusisha na marekanai au drug dealer ya kuhusisha yakuza mob waliopo japan na yakuza waliopo brazil.
Here we go
1.Narcos
2.Queen of the south
3.Gang related
4.Snowfall
5.Strike back legacy
6.Falcon rising
7.Shooter
8.Friday
karibu ututajie za kwako
Dah ata MTU ni binadam Ila binadam ndo binadam zaidtom na jerry
Nyie kima acheni kutupigia kelele humu..p.mbav.u zenu
666
Mzigo tayari ninao season 3 complete. Karibu ituvushe weekendYeah yeah Boss Leo mzigo unashuka hewani
Ni horror, uchawi uchawi mwingi. Hi nzuri piaSalem ya kichwani series ni nzuri sana, imebase kwenye encient England.
24 legacy...game of thrones...strike back...blacklist...homeland...quantico...the 100! zina action poa sanaaisee kati ya hizo ipi ya kimafia
mimi bado sijaanza kuiangaliaDah mkuu umenifny nije kwa pupa kweny Uzi wako baada ya kuiona shooter
Nimeiona s1 pekee VP inaend mpk ya ngap ? Coz natak niisake
Sent using Jamii Forums mobile app