Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Kama unapenda mikiki ubabe na matumizi ya akili na ngumi ubaguzi imecontain mambo mengi sana mpaka maswala ya jinsia moja lakini hii acha kabisa ina ngumi hatari
Kuna magenge na mapolisi nchi inamilikiwa na mwenyewe nguvu sio madaraka huyo mwenye madaraka yupo tu lakini nyuma wenye nguvu ndo wenye mamlaka humo kuna mtalaam ah sahm (bruce lee) jamaa alitoka china kuja san fransico america mwisho wa siku anijikuta kwenye genge la hope wei genge hatari lililopo chinatown (mji wawachina ingawa awanaubaguzi kwa wazungu wanafanya kazi hata kwa kipato kido go).
Kuna huyu Mr leary jamaa ni muairish anafanya kampeni za kibabe za kuwaondoa wachina wenyewe wanaita chick anafanya matukio yote lakini mwisho wa siku ah sahm anamshikisha adabu anambonda mbele ya watu wake na jamaa haamini (ungekufa leary)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
But hii series ina ngono asee yaan kazi na dawa acha tu.
Yoteyote young jun ambaye season 2 anachukua uongozi kwenye genge la hope wei anakuja gundua ah sahm mtu wake wa karibu sana anaundugu na adui wao mai ling kiongozi wa kundi la Zing hapo sasa ndo kinanuka
Niishie hapo [emoji3578]
"U can teach a pig to bite but doesnt make him a dog"
What that mean ?
Ur cop nothing else
Bill akimchana live Lee( ila bwana lee alikuchukua uamuzi mzuri sana kuacha upolisi jamaa ni mtu wa haki sana humu )
Ngoja tusubirie season 3