VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hakika Mkuu.Timu yetu sasa yazidi kuimarika.Tumemvumilia Allegri kwa sababu maalumna kama hiyo haitoshi kijana El shaarawy amepachika goli lake la 13 katika ligi msimu huu.
Ikumbukwe anayemfuata El Farao kwa magoli ni Edinson Cavani mwenye magoli 10 huku magoli 3 yakiwa ya penati wakati el farao hana goli la penati.
Hakika Mkuu.Timu yetu sasa yazidi kuimarika.Tumemvumilia Allegri kwa sababu maalum
Mi nlivyosikia milan kashinda 4 nkajua atakua ametuovertake kawa wa kwanza!asa nashangaa sie tumepiga kamoja tu tunaongoza ligi milan wako bondeni huko hata ukiwaita hawasikii!soccer is not fair...kwi..kwi..kwii!