SERIE A: Milan kama kawa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Ni hivi punde tu imeshinda kwa Torino 4-2. Mabao ya AC Milan yamefungwa na Robinho,Nocerino,Pazzini na El Shaarawy.Hatahivyo,Milan wanabakia nafasi ya saba na pointi zao 24. Mapambano yanaendelea
 
na kama hiyo haitoshi kijana El shaarawy amepachika goli lake la 13 katika ligi msimu huu.
Ikumbukwe anayemfuata El Farao kwa magoli ni Edinson Cavani mwenye magoli 10 huku magoli 3 yakiwa ya penati wakati el farao hana goli la penati.
 
Hakika Mkuu.Timu yetu sasa yazidi kuimarika.Tumemvumilia Allegri kwa sababu maalum
 
Juventus Torino the bianconerri aka bibi kizee cha Torino mwaka huu hatushikiki. Mkuu gang poleni sana
 
ndio mpira huo CHOMBA. Kumbuka wale watoto walikamia sana. Leo Pescara nae kashinda.
 
Mi nlivyosikia milan kashinda 4 nkajua atakua ametuovertake kawa wa kwanza!asa nashangaa sie tumepiga kamoja tu tunaongoza ligi milan wako bondeni huko hata ukiwaita hawasikii!soccer is not fair...kwi..kwi..kwii!
 
Teh teh mizengwe hio...duh
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom